Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Katika mambo ya kinywaji nyakati za mwanzo za utawala wa awamu ya tatu, Jeneral Twaha Ulimwengu alikuwa amekaa mahali akinywa katika kikao chake hicho alionekana kumlaumu sana Raisi wa wakati huo Ben Mkapa kwa kutomteua kuwa waziri wakati kwani wao ni marafiki wakubwa kwani hata kwenye harusi ya mtoto wa Ulimwengu, B Mkapa alikuwa MC!
Sasa kutokana na kuumia kwa kuwekwa benchi au sijui nini... Akaanza kutamka maneno haya;
Kwamba yeye hajali kitu kwani anaamini wao watutsi kunasiku wataiongoza tu dunia, kwani hata mtaji wa Magazeti yake alipewa na ndugu yake (mtutsi mwenzie) Museven rais wa Uganda kama njia ya wao kujiimarisha kutaka kuitawala kwanza Afrika mashariki.... akaenda mbali zaidi kwakusema hata jina la gazeti lake RAI lina maana ya "RWANDESE AGENCIES INTERNATIOALE"!
Sasa, kama mnavyojua bwana... kumbe UWT walikuwepo wakampelekea mkanda mzima bwana Ben Mkapa!
Nasikia Ben ali-mind mno!! Akaamua kuunyofoa uraia wa Ulimwengu!
Haya wengine kwamba ooh, waligombana kwenye pombe nasikia sio kweli... hili ndiyo msingi wa Bifu lisiloisha kati Jenerali na Ben.
Na eti Ulimwengu hatamsamehe Ben ataendelea kumponda lakini msingi wake ni kuharibiwa mpago wake wa RWANDESE AGENCIES INTERNATIOALE!! hapa Tanzania maana alikuwa karibu kabisa kuaminika hadi watu kuanza kumfikiria kuwa raisi ambalo lilikuwa lengo lake kuu!
Story ndefuee!? sorryy
........Jamani hii nimeishawahi kuisikia kama mara mbili tatu hivi kutoka kwa watu wazito tu.....kuna ukweli??!