kunakosa gani watu kusoma UDSM na kurudi kwao????Mbona wapo watu kibao wanachukua uraia wa Marekani au UK wanasomeshwa bure au kwa mkopo na wakimaliza wanarudi makwao(original) India,Pakistan,China na hata TZ na Kenya???mbona wamarekani au waingereza hawapigi kelele???Kusoma sehemu ingine na kurudi kwenu kuwa Waziri ni Kosa?????tuache ubaguzi usio na msingi???Acheni Warwandese waendeleze nchi yao,kama nchi yenu imewashinda msitafute sababu.....
Habari ndo hio....
Swala si kusoma UDSM, tatizo ni kwamba mda wote tuliposoma nao, tukaenda JKT pamoja na kwenda vyuo walidai na kujitambulisha kuwa ni watanzania!!. Ni pale tu Watutsi walipochukua madaraka 1994, walipoonoka na kwenda Rwanda kwa utambulisho wa uraia wa nchi hiyo,hata wale waliozaliwa hapa Tz.
Waliobaki japo wameendelea kuwepo katika taasisi mbali mbali, binafsi na za umma, mguu mmoja uko Tz mwingine uko Rwanda. Na kwa kweli wana uchungu zaidi na nchi ile si hii.Sina tatizo na yule anayeamua kuwa RAIA WA KWELI WA HAPA, pasipo kubeba maslai ya nchi nyingine pia, Hawa ni wachache kama 1/100. Si swala jepesijepesi kama wengi wanavyoonekana kulichukulia