WembeMkali
JF-Expert Member
- Jun 16, 2007
- 282
- 3
Hapa ndo waafrika wenzangu wananiacha hoi...Leo wahindi, wazungu na wengineo....wanaikamua nchi/bara letu no body speaks..but somebody is busy telling us sijui wahutu..siji watutsi..and what not..Hivi hii dhambi ya sisi waafrika kuchukiana tuliitoa wapi na tutaitibu vipi? Mpaka leo tunapandikiza chuki za kubaguana kwa kutumia kigezo cha urefu wa pua zetu? if you are a mhutu, mtusi, mmatumbi, mzigua..so what? And sadly..its all over Africa..huu ubaguzi sijui utaisha vipi. But What I can be sure of: Hautusadiii lolote na unazidi kutudidimiza.
An African is the only person who is neither respected at home nor abroad. Yaani tupo tupo tuu! Hivi hii ngozi nyeusi ililaaniwa na nani? Sidhani kama Mungu alifanya hiki kitu. No way, it must be somebody else. Huyo ndo inabidi tumtafute. Ndo mbaya wetu.
Kweli inasikitisha sana kuona mpaka leo watu bado tuna mawazo mgando kama haya..Hivi mtu anayefanana na Obama anaweza kweli kuja hata kugombea ukatibu tarafa kwetu Africa?..cha kwanza tutamhukumu kwa kuangalia sura yake...Ila akiwa ngozi nyeupe..I believe he stands a better chance..ila akiwa na asili yetu..his/her chances are doomed!
Kweli wazungu wametuzidi. Africa and Africans are just a lost case! no matter how we spin it. I said it...kusudi bara letu lisonge mbele..hatuna budi wote kuteketea...vizazi vichipuke upya!
Masanja,
Somo zuri kweli kweli hili...linamfaa sana Paul Kagame na serikali yake inayoongozwa na kabila moja tu...huku makabila mengine yakinyimwa haki ya kushikilia nafasi za juu katika serikali yake.
Pia nadhani linamfaa Museveni ...na wahima(watutsi wa uganda) ambao wanadhani wao ni haki yao kuwa madarakani miaka yote..