Ulimwengu aliponzwa na kujitapa Utustsi!!

Ulimwengu hana tofauti na wasomi wengi wa TZ hawako rational, hukomalia jambo wasilo na maslahi nalo au kama anayehusika sio jamaa yake. Ulimwengu ni kama Shigongo gombana naye ndo utamjua kila siku uko front page. Kuna issues kibao ungetegemea huyu bwana angezikomalia (ufisadi) lakini wapi- ila akiaanza kumlalamikia Magufuli utadhani yeye ndio FISADI nyangumi/papa. Hana tofauti na kina Lwaitama, Bana, Haroub, Shivji ambao hata siku moja huwezi sikia wanasema kuhusu utawala uliopo madarakani- zaidi ya kujadili mambo ya panafric etc.
 
Kama hao watutsi wana mipango mizuri na nyote mnaikubali kwanini tusiige na kuacha haya majungu ya kumjadili MTU ambaye hana madaraka serikalini wala hasababishi watoto kule Mbagala kukaa chini shuleni?

Mkuu hapa ulishindwa kuwa huru kifikra, wala hukujihangaisha kufikiri sana. Yaani kujua kama ana ajenda ya siri au hana watu wasimjadili?
Vipi mkuu, unakula embe bovu ukiwa umefumba macho ili lisikudhuru!!?
 

Mie nakuunga mkono, tuwe macho na wanafiki.
 
Mkuu hapa ulishindwa kuwa huru kifikra, wala hukujihangaisha kufikiri sana. Yaani kujua kama ana ajenda ya siri au hana watu wasimjadili?
Vipi mkuu, unakula embe bovu ukiwa umefumba macho ili lisikudhuru!!?

Ndugu;

Sioni lolote la maana kuhusu huyu TWAHA linaloongelewa zaidi ya conspirancy theories kibao zinazokuwa driven humu.
 
Ndugu;

Sioni lolote la maana kuhusu huyu TWAHA linaloongelewa zaidi ya conspirancy theories kibao zinazokuwa driven humu.

Kama unakiri kuwa wewe huoni ni vizuri kusema hivyo ni mtazamo wako, kwani pia siyo lazima kila jambo ukalijua kwa undani. Kama unaona wewe hulijui vizuri au huna uhakika, waache tu wenzio wanaoona wanajua wanachokisema usitumie maneno kama majungu, nk
Kama lipo ulilo na uhakika nalo juu ya yaliyosemwa, sema! usirahisishe tu kuwa huoni kitu...
 
Je mnamjua Kanali KABAYONGA? Huyu ni mkuu wa kikosi cha ulinzi wa viongozi kule Rwanda, lakini alikuwa UWT ulinzi wa vion gozi vilevile.

Aidha kuna taarifa (sio rasmi) kuwa Wamarekani wanawahitaji WAHIMA kwa ajili ya CONSIPIRACY, kwani wamabobea

Mnaosema ukabila semeni tu.
 
 


uongo mtupu....

1) Jenerali ana watato 4, wa tatu wa kiume na mmoja wa kike
2) Hana mtoto aliyeoa au olewa
3) RAI sio Rwandese Agencies Internationale ; kama ungekuwa hivyo si Rostam Aziz angebadilisha jina la Rai baada ya kununua Habari corporation
4) Bifu ya Mkapa na Jenerali ilitokea kwa Mkapa kutopenda yale Jenerali aliyokuwa akiandika magazetini mwake
5) kampuni ya Habari corporations ilianzishwa na Jenerali Ulimwegu, Salva rweyemamu, johnson Mbwambo, gideon shoo na Ben Mhina... museveni hakumpa Ulimwengu huo mtaji
6) Museveni ni mganda
7) Kama huyo Ulimwengu anaamini kwamba watutsi watakuja kutawala siku, si angeenda Rwanda na kujipendekeza kwa Rais Kagame.
8) Jenerali hajawahi kuwa na mpango wa kugombea nafasi ya urais wa Tanzania
 
Hii ni JF yenye kumbukumbu tulizowahi kusoma na kukumbuka. Ulimwengu aseme kama ni mtu wa maana au la!
 
Na ndio maana Jenerali hadi kesho ana chuki na huyo aliyekuwa rafiki yake kipenzi, kwanza alikuwa campaign manager wake, hizi blabala anazopiga Jenerali siku hizi hasa kuhusu Ben na Magu ni chuki binafsi anazozijua mwenyewe lakini kwa sababu zake binafsi anawalisha sumu Watanzania kwa kujifanya yeye ni mzalendo halisi na hao akina Ben na magu wameharibu nchi.
 
Mtutsi lazima amtetetee Mtutsi mwenzake,Wanyankole kabila analodai ni lake Museveni sio kweli yeye ni Mtutsi
 
Kwa hiyo Ulimwengu(mtutsi) anamchukia Magufuli(mhutu)?au sio?
 
Kumbe!alimponda Ben kwa kukosa cheo. Nakumbuka hoja yake "Raia mwema' kwamba watu wanapwaruza tu kando ya barabara eti mwendo kasi! Na akashuhudia mwendo kasi unafanya kazi. Ni makala aliyoandika katika gazeti lake (Raia mwema') sikumbuki ni lini ila niliisoma.
 
Watu wasomi but mnaandika ujinga hadi aibu naona mimi..

Mnajua sheria ya uraia kweli??
 
The Kettle Calling a Pot Black..., We jamaa ni mbaguzi alafu unasema wabaguzi wengine ? Au Ubaguzi kwako ni kwa kabila na kabila na mtu mweupe kwa mweusi na sio mweusi kwa mweupe ?

Ningekuunga mkono kwamba ubaguzi hauna maana kwa dunia ya sasa ila kumbe mwenzangu unaona waafrika kuwabagua mabara mengine ni sawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…