Uchaguzi wa 21-22, Jan 2025 ulikuwa ni SI unit kwa Dunia[ATTACa inapaswa kutumia muda kujenga mifumo inayowapa Wananchi uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka, badala ya kufanya mabadiliko kwa haraka bila kujenga msingi imara.
Chanzo: Jambo TV
CHawa, hata hili kuhusu chadema nalo unapinga?!.Hiviiii...., mchadema atasema nini' kuhusu jambo la chadema?!!!!🤣🤣🤣
Tuache hilo, mbona hawamtaji mbowe Sasa kwenye hilo?!!!
Wewe ni MUNDUKU SANAHiviiii...., mchadema atasema nini' kuhusu jambo la chadema?!!!!🤣🤣🤣
Tuache hilo, mbona hawamtaji mbowe Sasa kwenye hilo?!!!
Na leo kuna watu ambao bila aibu wanamuita aliyesimamia uchaguzi huo kuwa ni msaliti na aliyeiharibia Chadema! Huyo msaliti sio tu alihakikisha kuwa uchaguzi unakuwa wa haki na uwazi bali aliipa Chadema fedha za kufanikisha kuwepo kwa uchaguzi. Watu wengine ni wabaya sana.
Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mapema Januari 2025, kama miongoni mwa chaguzi za mfano zilizofanyika kwa uwazi.
Akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia, jana Agosti 28, 2026, Ulimwengu amesema Tanzania itaendelea kuwepo kwa miaka mingi, hivyo hatua zinazochukuliwa sasa zinapaswa kuzingatia pia vizazi vijavyo.
“Tujipe muda, tusiwe na haraka. Tunakwenda wapi? Nchi hii itakuwepo miaka mia tatu, mia tano ijayo. Tunatengeneza si tu kwa ajili yetu sisi, ni hao wanaokuja baada yetu.”
Amesema suala la uchaguzi linapaswa kuangaliwa kwa umakini, akitaja malalamiko ya madai ya Wananchi kunyimwa uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka.
Ulimwengu amesema katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, uchaguzi wa ndani wa CHADEMA umeonyesha kiwango cha uwazi na ushindani ambacho, kwa mtazamo wake, kinaweza kulinganishwa na mifumo ya uchaguzi inayosifiwa katika baadhi ya nchi za Afrika.
Ametaja Botswana, Ghana, Cape Verde na Mauritius kuwa miongoni mwa nchi ambazo zimekuwa zikisifiwa kwa namna chaguzi zao zinavyoendeshwa.
Kwa mujibu wa Ulimwengu, tofauti kubwa ni namna mchakato wa kupiga na kuhesabu kura unavyosimamiwa kwa uwazi, akisema uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliwahi kuonesha mfano wa utaratibu huo.
“Kura zinapigwa na hakuna ile ya kusema "ukishapiga kura, ondoka nenda nyumbani kajenge nchi". Nakwenda kujenga nchi gani? Najenga nchi kwa kuangalia uchaguzi inakwendaje hapa. Na wakati wa kuhesabu, zinachukuliwa kura moja moja na wananchi wanaona. Kila kura inasopolewa moja moja, inawekwa hapa, nyingine hapa mpaka mwisho, ndivyo wanavyofanya nchi zilizostaharabika"
Ulimwengu amesisitiza kuwa Tanzania inapaswa kutumia muda kujenga mifumo inayowapa Wananchi uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka, badala ya kufanya mabadiliko kwa haraka bila kujenga msingi imara.
Chanzo: Jambo TV
Vijana (J.Nyerere,Masese,n.k) walimuaminisha kuwa bado ana kubalika,atashinda kwa kishindo. Akajilipua kwa kuleta fedha za "kuendeshea" uchaguzi ambao "ukamuendesha" mpaka sasa haamini kilicho tokea kwenye huo uchaguziNa leo kuna watu ambao bila aibu wanamuita aliyesimamia uchaguzi huo kuwa ni msaliti na aliyeiharibia Chadema! Huyo msaliti sio tu alihakikisha kuwa uchaguzi unakuwa wa haki na uwazi bali aliipa Chadema fedha za kufanikisha kuwepo kwa uchaguzi. Watu wengine ni wabaya sana.
Amandla...
Hakuna mtu ambae anaweza kumshinikiza Mbowe kufanya asichotaka. Angetaka kushinda kwa figisu figisu angeshinda. Kura halali zilikuwa 996, Lissu alipata 513 (51.5%), Mbowe 482 (48.3%) tofauti ya kura 31. Huo haukuwa ushindi wa kishindo wa Lissu wala kukataliwa kwa Mbowe. Inawezekana pia alikuwa relieved maana ilimtua mzigo wa kuendesha chama. Ambao hawakuamini ni walioshinda. Wao walitegemea mchezo mchafu na kuwa aliyeshindwa ataendelea kushiriki katika siasa kwa namna moja au nyingine. Hawakutegemea kuwa Mbowe atajitoa jumla. Ndio maana mpaka leo wanalalamika kwa nini hajihusishi na mambo ya chama chake.Vijana (J.Nyerere,Masese,n.k) walimuaminisha kuwa bado ana kubalika,atashinda kwa kishindo. Akajilipua kwa kuleta fedha za "kuendeshea" uchaguzi ambao "ukamuendesha" mpaka sasa haamini kilicho tokea kwenye huo uchaguzi
Mbowe ktk uchaguzi tajwa aliaminishwa na wale jamaa kuwa wewe mwaga minoti,ulinzi uhakika.Hiviiii...., mchadema atasema nini' kuhusu jambo la chadema?!!!!🤣🤣🤣
Tuache hilo, mbona hawamtaji mbowe Sasa kwenye hilo?!!!
Unamaanisha kama ule wa mama'ako?!!W
Wewe ni MUNDUKU SANA
Bila shaka una ushahidi na unachokisema, au vp?Mbowe aliku
Mbowe ktk uchaguzi tajwa aliaminishwa na wale jamaa kuwa wewe mwaga minoti,ulinzi uhakika.
Sasa akasahau kuwa hao ndugu zake huwa wanatumia pamoja na minoti kumwaga,bila dola minoti italiwa bure.
Basi,akawa ana tabasamu tu,kilichomtokea ni utimilifu wa nia na kiu ya Watanganyika tulio wengi ya kwamba wanaotawala hawatumii fedha tu kuingia madarakani,bali hutumia nguvu ya dola kupora uchaguzi.
Vinginevyo mambo yasingelikuwa kama yalivyo hivi sasa,watu wangelikuwa hawapotei wala kutekwa na yeyote,amani ingelikuwa kwa kila mmoja tofauti na sasa ambavyo kuna kundi dogo tu linatabasamu.
KipiBila shaka una ushahidi na unachokisema, au vp?
Kama mnafanana ndio huoUnamaanisha kama ule wa mama'ako?!!
Ameshaharibu tayari..muda wowote atakamatwa kwa tuhuma za Ugaidi au Uhaini.
Kwahiyo?!!! Tupigwe tOne tOne kama nyie?!!!😳😳😳Uchaguzi pekee uliofanyika Tanzania 2025 ni wa CHADEMA.