Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

Na leo kuna watu ambao bila aibu wanamuita aliyesimamia uchaguzi huo kuwa ni msaliti na aliyeiharibia Chadema! Huyo msaliti sio tu alihakikisha kuwa uchaguzi unakuwa wa haki na uwazi bali aliipa Chadema fedha za kufanikisha kuwepo kwa uchaguzi. Watu wengine ni wabaya sana.

Amandla...

Pesa hizo alizitoa wapi chadema alikua haina ruzuku?
 
Pesa hizo alizitoa wapi chadema alikua haina ruzuku?
Mbowe ana hoteli London. Ana biashara UAE. Ana hoteli ya kifamilia Bongo. Mkwe wake alikuwa tajiri. Ana marafiki wengi ambao ni matajiri.
Yeye na wenzake walipo hukumiwa faini ya milioni 300 ilipatikana ndani ya siku mbili. Kitu kingine ni kuwa alikuwa na moyo wa kutoa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom