Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

Freemason ni shirika la kidini linalofundisha maadili, upendo, na utii wa sheria. Ingawa sio taasisi ya Kikristo, imepokea upinzani kutoka kwa dini zilizopangwa, haswa Kanisa Katoliki la Roma.
Hapa kuna baadhi ya vipengele vya mafundisho ya Freemasonry:

Imani
Freemasons lazima waamini katika kiumbe mkuu(mighty being) na kutokufa kwa roho.

Fadhila
Freemasons hujitahidi kukamilisha fadhila za ujasiri, busara, kiasi, na haki.

Freemasonry ni shirika la kindugu ambalo lilianzia Enzi za Kati kama chama cha waashi na wajenzi wa makanisa makuu:

Asili
Freemasonry ilianza kama chama cha waashi waliosafiri kufanya kazi kwenye makanisa makuu huko Uropa. Walitumia mishiko, maneno, na ishara ili kuonyesha sifa zao na kujitofautisha na wajenzi wasiostahili.

Freemasonry ya kisasa
Mnamo 1717, Grand Lodge ilianzishwa nchini Uingereza, ikipokea wanachama ambao hawakuwa waashi wa mawe. "Waashi hawa wanaokubalika" walitumia "uashi wa kubahatisha", ambao ulisisitiza kanuni za maadili kama vile hisani, haki, ukweli na ubinadamu.

Uanachama
Freemasonry kwa ujumla ni shirika la wanaume pekee, lakini baadhi ya nyumba za kulala wageni huruhusu wanawake kujiunga. Ili kuwa Freemason, mwombaji lazima awe mwanamume mtu mzima anayeamini kuwa kuna mtu mkuu na kutokufa kwa nafsi.

Imani
Freemasonry sio dini, lakini wanachama wanaamini katika nguvu ya Juu inayoitwa "Msanifu Mkuu wa Ulimwengu". Kanuni kuu za Freemasonry ni Upendo wa Ndugu, Usaidizi, na Ukweli.

Jamii ya siri
Freemasonry inachukuliwa kuwa jumuiya ya siri kwa sababu inaficha baadhi ya mila, desturi, au shughuli zake kutoka kwa umma. Freemasons wana kiapo cha siri na kupeana mikono kwa siri.

Umaarufu
Uamasoni ni maarufu zaidi katika Visiwa vya Uingereza na nchi zingine ambazo hapo awali zilikuwa sehemu ya Milki ya Uingereza.
Wanachama mashuhuri
Wengi wa waanzilishi wa Marekani walikuwa Freemasons, ikiwa ni pamoja na George Washington na Teddy Roosevelt.
Skull and Bones nayo vipi
 
Skull and Bones nayo vipi
Ni kitengo tu ndani ya illuminati kama walivyo Rosicrucian Hawa ni kitengo maalumu waliobobea kwenye Degree ya 18 kati ya zile 33.

Degree ya 18 inaitwa Rose & Croix

Digrii ya 18 hii pia inafahamika kama ‘Knight of Rose Croix’ hushughulika na elimu ya aina za misalaba na jinsi ya kufanikisha kuziingiza ndani ya taasisi na madhehebu mbalimbali kwa imani ya Illuminati na freemason na kwa kweli freemason wa digrii hiyo wamefanikiwa kwa kiwango cha juu kabisa kuingiza aina nyingi za misalaba ndani ya makanisa na taasisi bila ya waumini kujua maana ya misalaba hiyo

Kwenye kanisa la wasabato walikuwa hawatumii hizo alama kama ya MSALABA ,ila hao jamaa walivyoipenyeza ,wajanja walipohoji ilileta shida kubwa sana ,ila sababu Hawa Rosicrucian wanakuwa washajipanga kwa kuoandikiza hata viongozi wao ,waliipitisha

kwanza waumini wanafundishwa Msalaba ni alama takatifu ,lakini katika maandiko yanapozungumzia Msalaba yanamaanisha hasa Tukio la Yesu kufa pale msalabani na sio vinginevyo, inasikitisha sana kuona waumini wakibeba miti ya misalaba na kuibusu na kuitumikia

Hiyo ni kazi ya Rosicrucian
images (6) (1).jpeg
 
Haya yote yalitabiriwa, ujio wa mpinga Kristo, atakuja kwa mbinu nyingi, Kuna hata wanaotulipua mabomu na kuchinja Wakristo.
Yaani Umelipuliwa Na Bomu Alafu Upo Hapa Jf Unakomenti Akili Ni Kitu Cha Thamani Sana.
 
Shetani aliapa maazimio makuu matano na kule illuminati wanayatambua kama SATANIC LAW OF FIVE na Wana symbol Yao wanaitumia viongozi wengi hata wa dini na Serikali ,kama ni mbumbumbu huwezi kuelewa na hutaelewa kamwe hizi symbols

Hebu tuziangalie kidogo hizi SATANIC LAW OF FIVE zinapatikana katika Isaya 14

JE WAJUA KWANINI VIONGOZI BAADHI WA DINI ,WANASIASA NA WASOMI HUPENDA KUTUMIA SATANIC LAW OF FIVE?

JE WAJUA KWANINI WANAMUZIKI WENGI HUPENDA KUTUMIA ALAMA YA PENTAGRAM?

NI KUTOKA KWA SHETANI MWENYEWE,

Isaya 14

13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nita(1)panda mpaka mbinguni,
Nita(2)kiinua kiti changu juu
kuliko nyota za Mungu;
Nami nita(3)keti juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
14 Nita(4)paa kupita vimo vya mawingu,
Nita(5)fanana na yeye Aliye juu.

HAPO NI SHETANI AKIJIGAMBA KWA MAAZIMIO MATANO.

Kuna hizo "NITA" zipo Tano na kila moja Ina maana yake na nisomo kubwa

Anasema ataketi juu ya mlima wa makutano katika pande za kaskazi

Maandiko yanaposema PANDE ZA KASKAZI yalikuwa yanarejea lilipokuwa HEKALU LA SULEIMANI hii Ina maana Shetani aliapa ataingia kwenye nyumba za ibada

Ndio maana Leo madhehebu,dini zote shetani alishaingia humo kupitia SATANISM, ILLUMINATI NA FREEMASON

kama alivyoelezea Mshana Jr huko mwanzoni
 
Mkuu kuhusu namba ni kweli kabisa

Mwaka ukiwa haugawanyiki Kwa mbili unakuaga Una mitetemo ya juu Sana na ukiseti masafa yako yanakamata Kwa wepesi

Hii nimeifanyia tafiti binafsi tangu 2009/2011/2013/2015/2017/2019/2021/2023.

Kwakuwa human being ni spiritual creature kujifunza ni muhimu na Ku-experience mambo tofauti tofauti.
Tunaomba ufafanue zaidi Mkuu
 
Wajenzi huru huweka maana mbili kila wanapotekeleza tukio lolote ,maana ya kwanza inajulikana Kama "Exoteric meaning" yaani maana iliyo wazi ambapo maana ya pili inajulikana Kama"Esoteric meaning " yaani maana iliyofichika inayojulikana kwa waumini wachache wa dini ya waabudu shetani .

Ndio maana Huwa naangalia alama zilizopo kwenye makanisa na misikitini naishia kucheka tu najisemea moyoni Hawa Jamaa wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa

Hata kwenye mataasisi makubwa waliyojipenyeza wameweka alama zao

Mwaka 2005 ikiwa ni baada ya kutimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake ,taasisi ya Umoja wa Mataifa ilionyesha wazi kuwa ni taasisi inayoongozwa na taasisi nyingine ndani yake, Katika picha tunaweza kuwaona watu 6 wakiongozwa na Kofi Annan pamoja na Condoleezza Rice ,wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika kwaajili ya kuadhimisha miaka 60 ya taasisi hiyo.

kana kwamba haitoshi kuweka watu 6 meza kuu, nyuma yao Kuna nembo 3 za taasisi hiyo zikiwa zimetanguliwa na namba 666 kwa pamoja. ili kuficha umma usijue, ubunifu wa nembo hiyo ulifanywa kwa ujanja mkubwa kiasi kwamba namba inayosomeka hapo ni namba 60 kumaanisha miaka 60 ya Umoja wa Mataifa.

Katika Mkutano huu kwa maana ya Exoteric meaning, nembo ya Umoja wa Mataifa inawakilisha "0" ambayo inaleta namba 60 kumaanisha umri wa Umoja wa Mataifa. Lakini kwa maana ya esoteric meaning alama hizo zinawakilisha namba 666, chini ya namba 6 yenye nembo ya Umoja wa Mataifa Kuna maneno yanayosomeka "A Time to Renewal " yenye maana ya "Wakati wa kufanywa upya" Hii inamaanisha kwamba mwaka 2005 ikiwa ni miaka 60 ya uwepo wa Umoja wa Mataifa ulikuwa ni mwaka wa kuzitia nguvu mpya ajenda 36 za wajenzi huru.
 
Hii ni nembo ya Chuo kikubwa cha waislamu hapo Cairo ,Al Azhar University
download.jpeg

Ukiangalia hii logo Yao Ina maana mbili Exoteric meaning na Esoteric meaning

,maana ya kwanza inajulikana Kama "Exoteric meaning" yaani maana iliyo wazi ambapo maana ya pili inajulikana Kama"Esoteric meaning " yaani maana iliyofichika inayojulikana kwa waumini wachache wa dini ya waabudu shetani .

Sasa nawapeni homework mfumbue fumbo lililojificha hapo
 
Kanisa katoliki kuanzia miaka ya 1600/1700 au kabla ya hapo, waliiona hatari. Na waliweka wazi, mtu yeyote anayejiunga na hizi secret societies, automatically anakuwa excommunicated.

Hivi mnajua hata ndani ya kanisa Tanzania kuna baadhi ya wakubwa ni members? Na ukiona wanaongea huwezi kuhisi hawaamini katika yale wanayoyasema.🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂

Mwaka 1975, baada ya kuanza implementation ya Vatican two, iligundulika kuwa aliyeongoza kazi ya kufanyia marekebisho ya Misa, Archbishpo Bugnini alikuwa Freemasonry. Pope Paul wa sita, alimuondoa Vaticana akampeleka Iran, kama demotion. Ila the damage was already done.

Pope Paul wa sita alimchagua Archbishop Edouard Gagnon wa Canada afanye uchunguzi wa kina kuhusu members wa curia, kujua nani ni Freemasonry.

To the biggest surprise of all, aliyepewa kazi ya kuchagua maaskofu, Cardinal Sebastiano Baggio was top in the list. Inasemekana huyu bwana alihakikisha anachagua maaskofu wengi wenye mtazamo wa secret societies. Pope Paul alipopokea report akasema ni mgonjwa sana kuweza kuifanyia kazi ile report. Akaishia kulilia huruma ya Mungu kwa makosa ambayo tayari yalishafanyika.

Pope John Paul wa kwanza alipopokea report na kuanza kuifanyia kazi, akaishi siku 33 kama Papa. Kilichotokea hakijawahi kuwekwa wazi maana kuna tuhuma aliuwawa na wale waliohusishwa moja kwa moja sababu ya kashfa za bank ya Vatican na mambo mengine mengi ya hizi secrtet societies. Mwenyezi Mungu pekee ndio anayejua nini hasa kilitokea kwa uhakika.

Cha kushanga pia, wakati wa Obama administration, which was so secular, aliwek mpango wa kuhakikisha wanabadili muundo wa namna kanisa katoliki linavyofanya kazi, kwa kuingiza watu wao wenye hizi global agendas. Kama ilivyokuwa kwa Harris wakati anagombea uraisi, kuna baadhi ya viongozi wenzake walikuwa wanasema mafundisho ya katoliki ni old fashioned na outdated. Wanataka kanisa linaloungana nao kubariki ushoga na haya matakataka mengine.

Kwahiyo kuangusha utawala wa Pope Benedict wa kumi na sita haikuwa ni kwa bahati mbaya. Ilipangwa kwa muda mrefu na kwa ustadi mkubwa na collabolators wao ndani ya Vatican, wakiongozwa na Cardinal Carlo Maria Martin, a jesuits from Italy. Huyu na baadhi ya makadinali wenzake, waliunda kundi linaitwa Saint Gallen Mafia.
Walichokifanya ndicho tunachokiona sasa. Sisi wengine tunaangalia tu ila yote yanajulikana.

Freemasonry wanataka kutuweka wote mfukoni ili wajijenge na kututawala kwa namna zote. Imefika mahala sasa huwezi kuwa kiongozi mkubwa popote duniani, kama sio mwanachama wa kikundi hicho
 
Hii ni nembo ya Chuo kikubwa cha waislamu hapo Cairo ,Al Azhar University
View attachment 3195556

Ukiangalia hii logo Yao Ina maana mbili Exoteric meaning na Esoteric meaning

,maana ya kwanza inajulikana Kama "Exoteric meaning" yaani maana iliyo wazi ambapo maana ya pili inajulikana Kama"Esoteric meaning " yaani maana iliyofichika inayojulikana kwa waumini wachache wa dini ya waabudu shetani .

Sasa nawapeni homework mfumbue fumbo lililojificha hapo

Wamevamia kila dini ili kuhakikisha siku moja wanaunganisha hizi dini zote na kutengeneza dini yao
 
Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule
Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani za siri za kidunia.. Na hapa namaanisha dini zote zinazomuabudu Mungu moja
Kwasasa dini zetu
. Ni dini za biashara.. Pesa zikiwa ndio kipaumbele kikubwa
. Ni dini za miujiza na mazingaombwe
. Ni dini za mipasho na ulaghai
. Ni dini zinazobeba majukumu ya waganga wa kienyeji walozi na wachawi
. Ni dini za kufanyiana fitina, majungu na kugombea vyeo na madaraka
. Ni dini kwa ajili ya wenye nacho hasa matajiri, wanasiasa, wasanii wakubwa, watu maarufu na hata wauaji wa kuogopeka
. Ni dini zenye kutanguliza maslahi binabsi ama maslahi ya watawala ama kundi fulani la watu

Tuna dini zisizofundisha uhalisia ama zisizojua kufundisha uhalisia ama kutafsiri maandiko na misahafu.. Tuna dini za kuhubiri vitu vya kufikirika zaidi na mifano mfu ya kufunga
Haya mambo yamesababisha ombwe kubwa kwa naamini na waumini wake huu ya uelewa, ufahamu na mikanganyiko mingi kunakopelekea anguko kubwa...!

Vyama vya siri vyenye kutoka mafundisho ya ufahamu na kujitambua, vyenye mikakati na maono ya mbali sasa ndio vimeziteka dini zoote na ndio vinaendesha dunia
Bila kuwa na uelewa binafsi
Bila kuwa na maarifa binafsi
Bila kuwa na imani thabiti na binafsi yako mwenyewe, juuu ya yale unayoamini na kwanini unayaamini.. Juu ya ithibati mbali mbali.. Umekwisha!
Asili inachukua mkondo wake.. Maana dini zimefeli..zimejaa mafundisho yanayohitaji ufafanuzi wa kina .. Lakini hao wafafanuzi sasa! Ni majanga..
Dini zetu zinatufundisha tusiue.. Lakini hatujafafanuliwa tusiue nini na kwa sababu gani.. Huu ni Mfano mmoja tu rahisi kabisa!
Dini zetu zinatuambia kuhusu nambari ya siri inayotawala na inavyotawala dunia lakini hakuna wafafanuzi wa haya maarifa.. Matokeo yake nambari hiyo imepenya mpaka kwenye dini zenyewe maana ndio mahitaji ya nyakati
Kuna wajenzi huru(Freemasons) wapembuzi yakinifu waliojawa maarifa, wanaoweza kujibu kila swali tata.. Wenye elimu pana na kubwa na maarifa kuhusu, dunia, ulimwengu na imani zake.. Hawa ni mabingwa wao mipangilio ya tarakimu.. Wanakuambia ulimwengu unaendeshwa na tarakimu (nambari za siri)
Kuna Satanism (imani za kishetani) zimepewa jina baya lakini zimejaa maarifa mengi na yenye nguvu sana .. Mengine yanatisha kwakuwa yana connection ya moja kwa moja na nguvu za asili.. Hawa ni wababe wao mambo ya kiroho

Paganism.. Wasiamini katika chochote bali imani hao😀.. Wenye kutafuta uwiano kati ya hao wengine Wote.. Wasiojua chochote kuhusu nambari za siri, wasuojua chochote kuhusu ulimwengu wa roho.. Wasiojua chochote kuhusu asili..
Waamini wa kwamba kila kitu kipo kwa sababu kipo(bila kufafanua sababu yenyewe) hakuna mwanzo na hakuna mwisho.. Hakuna Mungu, hakuna miungu wala hakuna roho! Wakizaliwa wanezaliwa na wakifa wamekufa!
Wakipata wamepata na wakikosa wamekosa! No more reasoning.. Hawa ni stress free species .. Hawajisumbui kwa lolote lile!

Hitimisho: colabo ya hawa watatu umezifanya dini zetu zote kuwa mateka wao na mafundisho yao kwa sehemu kubwa ndio yanatawala mahubiri ya kila siku kwenye nyumba za ibada zenye kumwamini Mungu mkuu..View attachment 3192798
PHD
 
Mwaka 1975, baada ya kuanza implementation ya Vatican two, iligundulika kuwa aliyeongoza kazi ya kufanyia marekebisho ya Misa, Archbishpo Bugnini alikuwa Freemasonry. Pope Paul wa sita, alimuondoa Vaticana akampeleka Iran, kama demotion. Ila the damage was already done.

Pope Paul wa sita alimchagua Archbishop Edouard Gagnon wa Canada afanye uchunguzi wa kina kuhusu members wa curia, kujua nani ni Freemasonry.

To the biggest surprise of all, aliyepewa kazi ya kuchagua maaskofu, Cardinal Sebastiano Baggio was top in the list. Inasemekana huyu bwana alihakikisha anachagua maaskofu wengi wenye mtazamo wa secret societies. Pope Paul alipopokea report akasema ni mgonjwa sana kuweza kuifanyia kazi ile report. Akaishia kulilia huruma ya Mungu kwa makosa ambayo tayari yalishafanyika.

Pope John Paul wa kwanza alipopokea report na kuanza kuifanyia kazi, akaishi siku 33 kama Papa. Kilichotokea hakijawahi kuwekwa wazi maana kuna tuhuma aliuwawa na wale waliohusishwa moja kwa moja sababu ya kashfa za bank ya Vatican na mambo mengine mengi ya hizi secrtet societies. Mwenyezi Mungu pekee ndio anayejua nini hasa kilitokea kwa uhakika.

Cha kushanga pia, wakati wa Obama administration, which was so secular, aliwek mpango wa kuhakikisha wanabadili muundo wa namna kanisa katoliki linavyofanya kazi, kwa kuingiza watu wao wenye hizi global agendas. Kama ilivyokuwa kwa Harris wakati anagombea uraisi, kuna baadhi ya viongozi wenzake walikuwa wanasema mafundisho ya katoliki ni old fashioned na outdated. Wanataka kanisa linaloungana nao kubariki ushoga na haya matakataka mengine.

Kwahiyo kuangusha utawala wa Pope Benedict wa kumi na sita haikuwa ni kwa bahati mbaya. Ilipangwa kwa muda mrefu na kwa ustadi mkubwa na collabolators wao ndani ya Vatican, wakiongozwa na Cardinal Carlo Maria Martin, a jesuits from Italy. Huyu na baadhi ya makadinali wenzake, waliunda kundi linaitwa Saint Gallen Mafia.
Walichokifanya ndicho tunachokiona sasa. Sisi wengine tunaangalia tu ila yote yanajulikana.

Freemasonry wanataka kutuweka wote mfukoni ili wajijenge na kututawala kwa namna zote. Imefika mahala sasa huwezi kuwa kiongozi mkubwa popote duniani, kama sio mwanachama wa kikundi hicho
Na kila Raisi kwa wazi au kwa kificho Huwa anaenda Vatican kufanya nini
 
Na kila Raisi kwa wazi au kwa kificho Huwa anaenda Vatican kufanya nini

Sababu kubwa ni influence yake iliyojengeka kwa miaka mingi, tena kimkakati. Kanisa zama hizo lilikuwa ndio kiongozi wa karibu kila kitu. Lilichangiwa hela na likawa tajiri. Elimu na science ya mwanzo, kwa kiasi kikubwa ilikuwa chini ya institutions za kanisa.

Hilo lilikuwa tatizo kubwa kwa Fremasonry. Hawataki kuona kanisa linaendelea kutawala na kuamua hatma hata ya watu wasioamini Mungu.

Kwa mfano, enzi za Napoleone, alipambana sana kuhakikisha French Revolution inalipitia pia kanisa. Ila hakuweza. Italy ikaishia kuwapa Vatican status ya nchi ili liweze kujiendesha bila kubugudhiwa. French Revolution ya kanisa ilikuja wakati wa mkutano wa pili wa Vatican.

Institutions za kanisa toka enzi zilikuwa na global operational nature. Jesuits, Dominicans, Benedictines etc. Kwa mfano, Society of Jesus, ambayo wengi waniita Jesuits, jina ambalo wapinzani wao wa mwanzo waliwapa, ilimefanya mambo mengi makubwa ndani ya kanisa.

Hawa walikuwa wasomi waliobobea, waswalihina, wapelelezi na special soldiers wa Papa na influence yake globally. They were the elite. Walipewa kazi ngumu ngumu na walizifanya kwa mafanikio makubwa, tena kimya kimya.

Pressure ya changes iliendelea kwa kasi kuanzia miaka baada ya martin Luther kuanzisha uprotestant.
wakati wa vita ya pili ya dunia Japan, ilishambuliwa kwa bomu la atomic. jesuits walikuwa wanafanya utume pale na kwa bahati nzuri na kwa huruma ya Mwenyezi Mungu, nyumba yao ilisalimika. Bomu haikuliribu jengo lao. Na wao ndio watu waliokuwa wa kwanza kutoa misaada kwa waathirika.

Kati yao kulikuwa na Padri anaitwa Pedro Allupe. Aliyoyaona yalimbadili kabisa kiimani na kimtazamo. Baadae alipokuja kuwa Superior General wa Jesuits, alishiriki vatican Two kama mjumbe. Lile bomu na aliyoyaona yalimbadili sana mtazamo. He also championed the changes within society of Jesus ambazo zilikuwa zinakinzana na matakwa ya Pope.

Moja ya waamini wake wakubwa Pdro Allupe, ni huyu Pope wa sasa, Francis. Yeye ni Jesuit na nadhani anataka kuleta yote ambayo globalists wanataka yaingie ndani ya kanisa.

Mimi sitaishi milele. Kuna wakati nashangaa sana nini kinaendelea. Ukweli ni kuwa secret societies zimetushika pabaya. karibu watu wote wakubwa kwenye secular na religious life ni wahudumu wa societies hizo.
 
Dah Unajua mambo mengi kwakweli

Kwasasa secret societies zimetawala ndani ya nyumba za ibada ,wanachonitisha wameshika nyadhifa zile kubwa za kutoa maamuzi, hivo walio wengi huku chini wanaendesha kwa mfumo wa pyramid au msonge ,akisema wa juu iwe Nyeusi ,basi majority wanabeba kama ilivyosemwa
 
Interesting times...ila uchawi wa hii dunia uko kwenye vitabu. Filamu zinaweka mambo nusu nusu na robo robo. Chochote ambacho unataka kukielewa, ukizama ndani ya vitabu, lazima utapata mwanga wa wapi pakuanzia.
Waafrika tukianza kuheshimu vitabu na maandishi, tutabadilisha mambo mengi sana, ikiwemo mitazamo yetu sisi wenyewe
 
Nakubali ,mambo mengi yamefichwa kwenye vitabu
 
Back
Top Bottom