Ulimwengu unatufundisha kitu tusichokielewa

Ni usanii tu kama usanii mwingine
 
Nishati ni nini? Na kitu kuwa 'living' maana yake nini?
 
MUNGU NI UONGO Na Waaminio wanapaswa kumwabudu katika uongo halisi.....nafikiri, Hizi mistari tunaweza kuigeuza hivi na ikawa maana halisi ila walishindwa kunyoosha maelezo tu.
 
Kuna aina ngapi za nishati? Tueleze tujue mkuu unejibu its like kuna aina nyingi za nishati, roho ni nishati hai yaan baado haujatuelewesha vizuri please tufundshe kama hautojali mkuu.
Kuna nishati kwenye viumbe na kuna nishati kwenye vitu visivyokuwa viumbe. Ya kwenye viumbe inafanya Kazi automatically na ambayo haiko kwenye viumbe inahitaji support ya viumbe hasa binadamu kuweza kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jua ni nishari ya kwenye viumbe or sio viumbe...na inahitaji kiumbe gani kufanya kazi? Ukitoka hapo elezea na radi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…