Ulimwengu unatufundisha kitu tusichokielewa

Kwanza unathibitishaje huo ufahamu wa kristo upo?

Na umejuaje ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu?

kama ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu wetu na utambuzi wetu, Aliyesema ufahamu huo wa kristo upo yeye alifahamu vipi?

Alitumia ufahamu gani?
Ni usanii tu kama usanii mwingine
 
Mshana Jr Yuko Sahihi kusema kuwa Roho ni nishati hai (Living energy)....

Roho pia kwakuwa ni nishati inaweza kukuconnect na Malimwengu mengine yoyote na ndo maana katika biblia (Naitumia kama refference) utakuta katika yohana 4;24...
.

Yohana 4:24

"Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli."

Pia unaweza ukafanya Rejea Ya

1 Wakorintho 15:29-53​

Waandishi wa Biblia walitumia neno la Kiebrania ruʹach au neno la Kigiriki, pneuʹma waliporejelea “roho.” Maandiko yenyewe yanaonyesha maana ya maneno hayo.

Kwa mfano, andiko la Zaburi 104:29 linasema: “[Yehova] ukiiondoa roho [ruʹach] yao, wanakata pumzi, na kurudi katika mavumbi yao.”

Andiko la Yakobo 2:26 linasema kwamba “mwili bila roho [pneuʹma] umekufa.” Katika andiko hilo “roho” inamaanisha kile ambacho huupa mwili uhai. Bila roho, mwili umekufa. Kwa hiyo, katika Biblia neno ruʹach halitafsiriwi tu “roho” bali pia “nguvu” au kani ya uhai.

Kwa mfano, Mungu alisema hivi kuhusu Mafuriko ya siku ya Noa: “Ninaleta gharika ya maji duniani ili kuharibu kutoka chini ya mbingu wote wenye mwili walio na nguvu [ruʹach] za uhai ndani yao.” (Mwanzo 6:17; 7:15, 22) Hivyo, “roho” inarejelea nguvu isiyoonekana, inayotendesha viumbe vyote vilivyo hai.

Na Ndo maaana Muhubiri anatuambia kuwa kwa upande wa Roho na maumbile ya Roho Binadamu na Mnyama ni sawa....

Muhubiri 3:18-22
View attachment 2795289
Nishati ni nini? Na kitu kuwa 'living' maana yake nini?
 
MUNGU NI UONGO Na Waaminio wanapaswa kumwabudu katika uongo halisi.....nafikiri, Hizi mistari tunaweza kuigeuza hivi na ikawa maana halisi ila walishindwa kunyoosha maelezo tu.
 
Kuna aina ngapi za nishati? Tueleze tujue mkuu unejibu its like kuna aina nyingi za nishati, roho ni nishati hai yaan baado haujatuelewesha vizuri please tufundshe kama hautojali mkuu.
Kuna nishati kwenye viumbe na kuna nishati kwenye vitu visivyokuwa viumbe. Ya kwenye viumbe inafanya Kazi automatically na ambayo haiko kwenye viumbe inahitaji support ya viumbe hasa binadamu kuweza kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jua ni nishari ya kwenye viumbe or sio viumbe...na inahitaji kiumbe gani kufanya kazi? Ukitoka hapo elezea na radi?
 
Back
Top Bottom