Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Nilichoelewa hawa jamaa wa ving'amuzi wanakua na madish mengi wana compile fta channel's halafu wanatuuzia kwa style ya vifurushi
 
Habari,
Nilikuwa naomba code kwa ajili ya king'amuzi cha Strtimes cha Antenna, kulikuwa na code naingiza napata chanel free za local lakini sasa sipati nadhani wamefunga. Mwenye code naomba anipe sipati tena local channel zaidi ya TBC! na TV1
 
...kamata kalamu na karatasi....
...washa kisimbusi chako na ifanye i'search auto'. Andika 'frequency' au 'channel' zinazopokea, kawaida inatoa %'bar'....
...jaribu kuweka 'manually' ulicho andika....
...kama uko dar, ch23; 30&21 ama frq490;546&474....kumbuka hii ni hisani ya mangi!!!
 
Asante mkuu umetisha sana,
nimekupata bila ya chenga japo umeziweka chenga.
 
Hivi siwez kutumia receiver yoyote ile ya media com kwa mfano nikatumia na dish la startimes au la zuku?
maana dishi kubwa sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…