dullynho
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 348
- 240
sports 24hdMkuu hiz ni frequency za chanel gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sports 24hdMkuu hiz ni frequency za chanel gani?
Samahani.hivi hizo 5 digits. Sio za ku band kweli?We unaipata?
Mkuu hii channel ww unaipata kwako ? Maana huku imegoma ?sports 24hd
Mkuu hii channel ww unaipata kwako ? Maana huku imegoma ?
Nikweli mkuu! Azam na mbc channels kumbe yoote yapo free nilesat.Nilichoelewa hawa jamaa wa ving'amuzi wanakua na madish mengi wana compile fta channel's halafu wanatuuzia kwa style ya vifurushi
Inapatikana. Cheza na Lnb kwa kuizungusha. UtaipataMbona channel ten siipati kwenye satellite ya is906 64.2E?
kwa dish la ft ngapi?maana mimi natumia ft8 na siipati!Inapatikana. Cheza na Lnb kwa kuizungusha. Utaipata
...kamata kalamu na karatasi....Habari,
Nilikuwa naomba code kwa ajili ya king'amuzi cha Strtimes cha Antenna, kulikuwa na code naingiza napata chanel free za local lakini sasa sipati nadhani wamefunga. Mwenye code naomba anipe sipati tena local channel zaidi ya TBC! na TV1
...kamata kalamu na karatasi....
...washa kisimbusi chako na ifanye i'search auto'. Andika 'frequency' au 'channel' zinazopokea, kawaida inatoa %'bar'....
...jaribu kuweka 'manually' ulicho andika....
...kama uko dar, ch23; 30&21 ama frq490;546&474....kumbuka hii ni hisani ya mangi!!!
Tstv hivo kinahitwaJe beinsport channels zinapatikana kwa kutumia decoder gan?