Kwa hiyo receiver utapata channels chache maana nyingi kwa sasa zipokatika mfumo was mpeg4, na ulikuwa unataka channels zipi na una dish laze gani
Kwa kutumia dish hili LA 6ft kama sijakosea na kama utakuwa na receiver yenye mfumo wa powervu utapata utapata EPL na uefa, kupitia nss12, local utapata ITV,eatv,channel ten,capital, startv,TBC,sibuka,tv1, kupitia intelsat64 na ab2 75e, utapata za move kupitia 68.5 na za habari zitakuwa kibao kama aljazeera,sky news, nhk,cgtn, na zingine itategemea uwezo wa fundi kufanya combination
1: local channels zote
2: sport channels.. hasa zinazoenesha epl, la liga na bundersliga
3: movies channels.....
4: entertainment channels... Ile unaweza angalia wwe, musics, nk
vipi kwa dish la ft 12 mkuu na receiver ya tiger T245+ naweza kupata channel zipi na fundi mzuri wa kufanya reinstallation nampataje na garama zake zikojeKwa kutumia dish hili LA 6ft kama sijakosea na kama utakuwa na receiver yenye mfumo wa powervu utapata utapata EPL na uefa, kupitia nss12, local utapata ITV,eatv,channel ten,capital, startv,TBC,sibuka,tv1, kupitia intelsat64 na ab2 75e, utapata za move kupitia 68.5 na za habari zitakuwa kibao kama aljazeera,sky news, nhk,cgtn, na zingine itategemea uwezo wa fundi kufanya combination
Mkuu vipi?....nimenunua receiver ya gsky v7 sasa nataka ninunue lnb ambazo ni nzuri na powerful,je lnb nzuri ni zipi/aina gani?
kwa nini unataka ununue hiyo wakati gsky v7 ni nzuri zaidi?Natafta freesat v7
INA BEI GANI MKUU?kwa nini unataka ununue hiyo wakati gsky v7 ni nzuri zaidi?
Mimi nimeinunua online kwenye soko la aliexpress kwa tsh 192,000/= plus shipping cost ya tsh 30,000/=INA BEI GANI MKUU?
Mkuu tatizo ni bei mimi bajeti yangu haizidi 150kMimi nimeinunua online kwenye soko la aliexpress kwa tsh 192,000/= plus shipping cost ya tsh 30,000/=
Mkuu jitahidi ongeza 50,000/= ili usipishane na haya mambo mazuri!.....Gsky v7 ni full autoroll powervu,TANDBERG na pia inafungua biss keys!!Mkuu tatizo ni bei mimi bajeti yangu haizidi 150k
Mkuu mbona hata freesat ina hayo yote ?Mkuu jitahidi ongeza 50,000/= ili usipishane na haya mambo mazuri!.....Gsky v7 ni full autoroll powervu,TANDBERG na pia inafungua biss keys!!
Mjomba natamani nikuelewe unamaanisha nini Best? Karibu[emoji102]Mkuu behaviourist,king'amuzi cha power vu kinafanya kazi ktk dish la media com
mkuu hii autoroll powervu na tandbeg zinafanyaje kazi(hadi uweke internet au zinakuwa auto kila unapowasha receiver?)Mkuu jitahidi ongeza 50,000/= ili usipishane na haya mambo mazuri!.....Gsky v7 ni full autoroll powervu,TANDBERG na pia inafungua biss keys!!
Dish lolote la ft6 ila ft 8 ni nzuri zaidi!Mkuu behaviourist,king'amuzi cha power vu kinafanya kazi ktk dish la media com