Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kwa hiyo receiver utapata channels chache maana nyingi kwa sasa zipokatika mfumo was mpeg4, na ulikuwa unataka channels zipi na una dish laze gani
398f748176a47508c8f15d57ba2aeaf3.jpg

1: local channels zote
2: sport channels.. hasa zinazoenesha epl, la liga na bundersliga
3: movies channels.....
4: entertainment channels... Ile unaweza angalia wwe, musics, nk
 
Kwa kutumia dish hili LA 6ft kama sijakosea na kama utakuwa na receiver yenye mfumo wa powervu utapata utapata EPL na uefa, kupitia nss12, local utapata ITV,eatv,channel ten,capital, startv,TBC,sibuka,tv1, kupitia intelsat64 na ab2 75e, utapata za move kupitia 68.5 na za habari zitakuwa kibao kama aljazeera,sky news, nhk,cgtn, na zingine itategemea uwezo wa fundi kufanya combination
 
vipi kwa dish la ft 12 mkuu na receiver ya tiger T245+ naweza kupata channel zipi na fundi mzuri wa kufanya reinstallation nampataje na garama zake zikoje
 
Hello guys!!...Wakuu nimenunua receiver ya gsky v7,naomba nisaidieni ni lnb zipi nzuri kwa fta ili nizinunue online!
 
Mkuu jitahidi ongeza 50,000/= ili usipishane na haya mambo mazuri!.....Gsky v7 ni full autoroll powervu,TANDBERG na pia inafungua biss keys!!
mkuu hii autoroll powervu na tandbeg zinafanyaje kazi(hadi uweke internet au zinakuwa auto kila unapowasha receiver?)
 
Back
Top Bottom