Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Niwashukuru wote mlio niunga mkono kwa kununua rcva zangu. Aidha naendelea kuwahimiza wengine kupata rcva hizo ili kufaidi ulimwengu wa fta sat tvs.
 
Mkuu Arselona samahani naomba kuku-uliza yafuatayo:- Je nikitumia receiver ulizosema unazo ni chanel gani ninazoweza kupata ambazo kwenye mediacom 930 sizipati? Kwenye dishi la ft6 uelekeo wa 68.5 E. Asante.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arselona samahani naomba kuku-uliza yafuatayo:- Je nikitumia receiver ulizosema unazo ni chanel gani ninazoweza kupata ambazo kwenye mediacom 930 sizipati? Kwenye dishi la ft6 uelekeo wa 68.5 E. Asante.

Kama ni kwa cband ni channels zote ambazo ni za dvb-s2. Kama ni kwa ku-band utakosa hizi SABc1, 2, 3 and e.tv
 
Niwashukuru wote mlio niunga mkono kwa kununua rcva zangu. Aidha naendelea kuwahimiza wengine kupata rcva hizo ili kufaidi ulimwengu wa fta sat tvs.

Kwa wapenzi wa mpira, movies drama, comedies wrestling nk. mnaweza wasiliana nami kwani kuna mengi ya kuwashirikishenei offline. Msiache
 
hello Arselona. nategemea kukuunga mkono kwenye rst 4922 soon. thanx kwa utaalam wako. Channels gani ambazo naweza kuzipata kwenye nilesat 101, 102 na badri4/5/6 26e ambazo humax ir2000hd inashindwa kuzifungua ukiacha zile za AD sports na JSC cards? plz
 
arselona vipi kupata amos 5 na eutelsat 16a kwa dar es salaam,dish size gani ni la offset linahitajika?
 
Kwa wapenzi wa mpira, movies drama, comedies wrestling nk. mnaweza wasiliana nami kwani kuna mengi ya kuwashirikishenei offline. Msiache

MKUU napenda sana wrestiling. nina dish la futi 6, receiver ya gulf star na lnb 2 c band na ku. nifanyaje ili nipate channel zinazoonesha wrestling?
 
Kama ni kwa cband ni channels zote ambazo ni za dvb-s2. Kama ni kwa ku-band utakosa hizi SABc1, 2, 3 and e.tv

Kwa hiyo, nikinunua hiyo receiver yako ntaipata e.tv na sabc 1,2,3 for free with 6 ft satellite dish?kama ndiyo gharama ya hiyo receiver ni how much?
 
Mkuu naomba kuuliza nitawezaje kupata card ya my tv africa na aljeezira sport maana nina receiver ya strong model 4663x maana ina sehem ya kuchomeka card kama zinapatikana wapi na zinauzwa bei gan?
 
kwa sasa smartcards za mytv hazi2miki tena kwenye rcva za strong za mpeg2 kama hiyo uliyonayo.
 
naandaa majibu ya maswali yako.
 
Kwa hiyo, nikinunua hiyo receiver yako ntaipata e.tv na sabc 1,2,3 for free with 6 ft satellite dish?kama ndiyo gharama ya hiyo receiver ni how much?

ndiyo. Srt4922A imebaki moja unaweza kupata kwa tsh 270000. Malizia hiyo ili niagize nyingine. Idumu jf na fta
 
Mtuko2. Kadi za JSC sports zinaweza kupatikana pale JJN Shop. hilo duka lipo kkoo dsm, nyuma ya jengo la Simba SC kuna mtaa flan mfupi unatazamana na mlango wa DDC social hall.
 
hela ngapi mtu wangu
 
mambo vp kaka arselona, niko dsm natumia strong receiver SRT 4622X II niliinunua 2009, nikaacha kuitumia 2011 sasa nimeiconnect tena na dish dogo kwa satellite eutelsat W4 and NSS 7/ku, baada ya kusearch FTA channels nimepata channel 9 (cctv4,silvb,loveworldplus,cctvd,ebru,k24,cctvn,ortc na dish channel ya dstv) hazina movie,series na music. nitapataje channel za movie,series na music ktk satellite hizo mbili, kama una frequency za ziada naomba ziandike apa nijaribu kusearch. au kama haiwezekani nielekeze satellite zingine na direction zake pamoja na frequency
 
Nina decoder ya astrovox HD 9000. Naweza kupata wapi softwere ya unlock channel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…