Arselona
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 643
- 153
- Thread starter
- #321
Imetimia takribani wiki mbili sasa tangu niwaahidi kuwa na rcva za strong srt 4922. Napenda kuchukua nafasi hii kukuj ulisheni kuwa sasa rcva hizo ninazo. Nyote mnakaribishwa. :majani7::majani7::majani7:
View attachment 92925
View attachment 92927
Niwashukuru wote mlio niunga mkono kwa kununua rcva zangu. Aidha naendelea kuwahimiza wengine kupata rcva hizo ili kufaidi ulimwengu wa fta sat tvs.