Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

pia channel za mozambique zote zimepotea lakin kila nijaribu kuzirudisha hazitaki nifanyeje na hapo?
 
habar za humu ndan.
hiv kunayoyote ashawahi kuitafuta hii sat ya turksat 2A/3A 42°E na akaipata.km kuna yeyote nisaidieni
 
Wadau ni mgeni katika haya mambo, naomba niulize swali , samahani kama litakuwa la kijinga.

Mimi ni mpenzi sana wa documentaries, je naweza kupata channels hizi zote zifuatazo kama Free To Air, yaani, Discovery,National geographic, Nat Geo Wild na Animal Planet? Kama ni ndiyo mahitaji ni nini hasa na natakiwa nifanyaje?

Asanteni Sana
 
Mimi nafikili kilakitu kinapatikana kilahisi kwa internet so vituvyote hivyo uki google vinapatikana kiulahisi mkuu.kuanzia unachohitaji mpaka kuwanacho mpaka sat mpaka chanl zote dunian
 

Mkuu ktk mazingira yetu ya kusini mwa jangwa la Sahara ni vigumu kupata hizo channel zikiwa FTA. Hizo ni Chanel hot ndio maana hata startimes hawana Natgeo wild, any way Fanya mpango wa azsky g6 au wengine km azsky g2 , xmaster and alike ule nchi Mkuu. ,Fuatilia threads husika wasiliana na wahusika wakupe maelekezo.
 

haiwezekana. Unaloweza kufanya ni kuonana na wakala wa dstv na utapata maelezo ya jinsi ya kupata unachotaka.
 
Sasa zawadi Kama hukufanikiwa kupata thaicom 5 @ 78.5E bac huitaji ku2mia DIRECT PLATE kama unavyosema kidude cha ndani na kichwa cha LNB Yako kama ni GULFSTAR kiwe kimegeukia mkono wa kulia utapata kaka.
 
QTV Na NTV KENYA Utapata sat intelsat 904 at 62.0E, kwa kbc mpaka eutelsat 10a. lakini lazima uwe na MPG4 Receiver.tembelea hizo sat utaona.
 
Wakuu mambo vipi?naomba msaada kuhusu hii ricva yangu ya gulfstar inakamata chanels zilzopo holizontal pekee (h)upande wa (v)haitak ukibadil mkaa inakamata za (v)holizontal zinagoma anaefaham huu ugonjwa anisaidie tafadhari
 
hata mimi nilikuaga na rcver ya wiztech ilikua ina tatizo kama hilo
 
Kwahiyo nikimpa fundi anaweza akaiponesha? Kwamana naipenda halafu yenyewe kwa hiz local chanels za tz haisumbui ila ni zile za holizontal tu itv na ndugu zake pamoja na msumbiji huzipat kabisa kw vile kwangu ziko (v)
 
Hapo kuna mambo mengi angalia setting zako hasa kwenye volt inatakiwa iwe 14/18 au automatic tofauti na hapo may be Lnb imekufa upande mmoja so kabla ya hapo tafuta dish jingine uunganishe uone zinakuwaje then uone ile 14/18 kama zipo sawa ndo uipeleke kwa fundi.
 
Nishawah tumia gulf box,hiyo rcver itakuwa imekufa polarity peleka kwa fund...kwa gulf jitahd unapounganisha pin kwenye lnb,rcver au swich zima rcver kwanza vinginevyo inaungua tofaut na box nyingine.NB..Am a new member, Nawashukuru member wote kwan kupitia uz huu nimejifunza mengi sana
 
clouds tv iko fta sasa kwenye Ting

Mkuu Arselona kuna Ombi maalum kwako na kamati yako ya ufundi naomba utembelee Uzi wa munjy1 ametoa hilo ombi kwako ulipitie na kuona namna unavyoweza kulifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…