Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia channel za mozambique zote zimepotea lakin kila nijaribu kuzirudisha hazitaki nifanyeje na hapo?
Wadau ni mgeni katika haya mambo, naomba niulize swali , samahani kama litakuwa la kijinga.
Mimi ni mpenzi sana wa documentaries, je naweza kupata channels hizi zote zifuatazo kama Free To Air, yaani, Discovery,National geographic, Nat Geo Wild na Animal Planet? Kama ni ndiyo mahitaji ni nini hasa na natakiwa nifanyaje?
Asanteni Sana

tupe frequency zake kakaclouds tv iko fta sasa kwenye ting
tupe frequency zake kaka
clouds tv iko fta sasa kwenye Ting
Haina Sauti wala video /NO AUDIO/VIDEO au ni receiver yangu? srt 4930 HD.
clouds tv iko fta sasa kwenye Ting