.du kweli awa model zao wanazo zipanga nimeshindwa kuwasoma kumbe
srt 4922a ni kubwa kuliko 4930,4940,4950h na series me nilizan kadri model namb zinavyo panda ndo ukubwa kumbe inamaana 4922a imeizidi ile ya my tv 4940 uwezo
hivi mkuu wangu Arselona upo poa lakini? naomba unisaidie frequency za upande wa mbc na zimbo tv nyingine ni zepi mkuu..[/QUOTE
FlySat Eutelsat 7A @ 7° East
NTV Kenya,QTV,KTN,Family TV1, Family TV2,Kass TV ni FTA katika satellite ya NSS12( 57E) ilipokuwa kbc tp 11025H11429 receiver lazima iwe MPEG4.
Mkuu nimejaribu kuweka hiyo frequency kwa ku add na pi hata ku edit lakini imegoma kuingia.Nifanyeje, natumia receiver ya Wiztech HD
Mkuu@arselona nisaidie frequency za tbc,then star tv imepotea tangu juzi..natumia media com 930 plus.
Star tv wamepunguza signal kama TBC ilivyo.Inabidi uwe na ungo wa ft8 ndo utaipata.
Tunaomiliki madish ya ft6
kazi tunayo,lakn kama unatumia mpeg4 kupitia TING channel hizo
zinapatikana,naomba kuuliza wadau kupitia hiyo TING hizo channel
walizotuachia zitakuwa zakudumu au wametuachia kwa muda tu?
Ni kwa muda tu mpaka watakapoanza kulipia kwa decoder zao, kwa sasa si unafahamu kwamba decoder zao hawalipii kwa sasa hadi mwisho wa mwaka ?
SATELITE TV DISH
INSTALATION PRATICLE TRAINING
On 09/NOV/2013
At mabibo hostel
Venue: Lisbon (mabibo hostel near vodacom tower)
Entrance fees: 20,000
TiME: 8:30-16:00
TRAINING based on View attachment 117036
Satellite Dish installation
1.Local channel
2.FTA tv(C&ku-BAND)
3.ZUKU tv
4.DSTV
REGISTRATION: pay fees early and get your entrance ticket
Contact : 0654405727
Mwangende
0656206129
Mr Flument
PRE-REGISTER FOR THE TRAINING BY SENDING YOUR FULL NAME TO dsatltd@yahoo.co.uk OR via sms to 0656206129/0654405727 LIMITED SEATING!
Moderators,hebu ondoeni hii kitu hapa tafadhali!
Inatuchafualia hewa hapa.
sawa we Flavius yani umeshindwa kabisa kuona sehemu ya matangazo ilipo humu ndani? Mwanzo ulitangaza kufunga madish leo unatangaza mafunzo. Jifunze kujimiliki bila kuharibu utaratibu wa wengine.