Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 120
Jaribu kufafanua kidogo,ulikuwa unazipata channel za nyuzi ngapi au package ipi?
Kwenye satellite ya Hotbird
17'E kuna mambo saanaspurs vs everton live now on rdv 17°E
kuna chaneli gani za muvi music na sport apo17'E kuna mambo saana
kuna chaneli gani za muvi music na sport apo
arselona na tusichoke me nipo Arusha na pia bado cjaipata nile sat hata 201 na pia cjakuelewa baba una maanisha nini kusema prime forcus na offset?[/yQUOTE]
Umesema kwenye posti yako huko juu kwamba una ungo uliouelekeza eutelsat 7w. kimsingi hapo ndipo ilipo pia nilesat 201.Nilishawahi ongelea habari ya offset na prime focus dishes. Kwa lugha rahisi ukiona dishi ambalo lnb imefungwa katikati ujue hilo ni prime focus na ukiona imefungwa pembeni ni offset. Ting12418/30000.Weka hizo parameta na kutoka eutelsat 7w pandisha ungo wako juu utskutana na amos5.
uzi mtamuuuuuuuu
Wakuu, nimekutana na receiver ambayo inatumia Antenna za kawaida, siyo dish. Uki search zinaingia channel zaidi ya 100 ila zinazofungua hazifiki 10, je, nifanyeje ili hizi channel ambazo ni scrambled zipate kufungua? Hii receiver ni DVB-T2 MPEG4.
eutelsat 36B