Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kwenye satellite ya Hotbird

Hotbird is just a name unaweza kuitumia kukamatia satellite yoyote,kikubwa ni dish lako umelielekeza kwenye nyuzi ngapi? Kama bado hujanisoma bac tuwekee freq.uliokuwa unatumia kupata hizo channels zilizopotea
 
arselona na tusichoke me nipo Arusha na pia bado cjaipata nile sat hata 201 na pia cjakuelewa baba una maanisha nini kusema prime forcus na offset?
 
wadau local channels zimeama tena 36e tafadhali anayejua walipo mara nasikia wapo amos 5 lakini nikicheck kwenye net sizioni.mwenye uhakika anitonye tafadhali na freq pia naombeni,pia swala linguine sina finder nimezoea kutafuta sat kibabe babe so mnielekeze upande iliko kwani nina dish mbili hapa,,,moja nimefunga eutelsat 7w ambayo ni futi 6 na ya pili ni hii niliyokuwa napatia local chanel ambayo nadhani ni 75cm niliyokuwa nimefunga eutelsesat 36e,,,,please Arselona>>>Tusichoke>>>>Jf expert>>>>>kibula mko wapiiiiii???
 
arselona na tusichoke me nipo Arusha na pia bado cjaipata nile sat hata 201 na pia cjakuelewa baba una maanisha nini kusema prime forcus na offset?[/yQUOTE]

Umesema kwenye posti yako huko juu kwamba una ungo uliouelekeza eutelsat 7w. kimsingi hapo ndipo ilipo pia nilesat 201.Nilishawahi ongelea habari ya offset na prime focus dishes. Kwa lugha rahisi ukiona dishi ambalo lnb imefungwa katikati ujue hilo ni prime focus na ukiona imefungwa pembeni ni offset. Ting12418/30000.Weka hizo parameta na kutoka eutelsat 7w pandisha ungo wako juu utskutana na amos5.
 
broo arselona naomba unijuilishe
1)ivyo hii cccam ni nini na hutumika kwa niaba gani
2)nimeona kitu katika net inaitwa skybox f5 jee hii nayo ni kama vile g6 au qsat
natanguliza shukrani kwa wote
 
oyaa kwa wanaojua jinsi ya kutumia kifaa kinacho itwa satellite finder waje watujuze faida za matumiz ya hiki kifaa kwani naona wenzetu wanawinda sat nyingi kwa urahisi kwa kuwa na vifaa kama hivi. karibu mwenye ujuzi
 
Azam Media kuingia mkataba na Eutelsat iyo habar nimeikuta kwa fb page yao
sasa iyo Eutelsat 7A inamambo gan? ya ukweli wadau?
 
Wakuu, nimekutana na receiver ambayo inatumia Antenna za kawaida, siyo dish. Uki search zinaingia channel zaidi ya 100 ila zinazofungua hazifiki 10, je, nifanyeje ili hizi channel ambazo ni scrambled zipate kufungua? Hii receiver ni DVB-T2 MPEG4.
 
Nimeikamata Amos 5 wanetu,,,,na pia ile dish niliyokuwa nimejaribu kufunga nilesat ikagoma nimegeuzia mashariki nakula Nss 7 kwenye degree hamsini na...je naweza kupata freq zaid kupata chanel zaid kwenye Amos?na pia tv ya kwetu inayoonyesha ni tbc 1 tu,,asante
 
Wakuu, nimekutana na receiver ambayo inatumia Antenna za kawaida, siyo dish. Uki search zinaingia channel zaidi ya 100 ila zinazofungua hazifiki 10, je, nifanyeje ili hizi channel ambazo ni scrambled zipate kufungua? Hii receiver ni DVB-T2 MPEG4.

mkuu ungetaja hizo channel ulizopata,lkn hiyo receiver uliyo taja ni km za startimes zinapokea mawimbi ya ardhini(terrestrial) na sio ya dish
 
Amos 5 uzi umeng’aaaaaaab.Wakubwa!!!!ni sat gan naweza kuipata NatGeo for free?receiver ni ile ile Astrovox Mpge4
Wadau mbona kimya?
 
hivi wadau dish la dstv linalogeukia kaskazini huwa nikatika satellite gani?
 
Back
Top Bottom