Sasa wao wanatakatufanyeje kamahuduma zao sio nzuri na sisi huku vijijini tutampa nan situmenunua hawakutuazima,wala hatukupewa hata maelezo yoyote.
wenyeji wahum ndan naomba ushauri wenu,kunamtu ana recver aina ya wiztech 999 haitumii kwan aliyeset alimpa dish la zuku chanel zote zandani ya tz local channels zilishika,sasahiv zimekata hazshik tena.mim nna recver ya zuku na dish lake ila situmii nilishindwa kulipia na pia ninadish la ft 6 narecver ya mediacom 930 haishiki startv,sasa kaniomba tubadilishane recver yaan anipe wiztech nimpe zuku.swali langu kwawataalam warecver nikubali au nikatae? Ushauri wenu ni mhim san kwang.
tatizo mara nyingi lipo kwenye madish. Kuna ambayo ni fake. Wenzako mbana wanapata? fake sat dish>>>false focal point>>> impaired signals>>> freezing/no signal. And that is it. Umeona hesabati hiyo?mbn startv haipatkan kwny madish ya kawaida? Natumia media com 930 decoder
Je wakija kuchukua wanakurudishia pesa ulizonunulia au?
Mkuu swali lako ni zuri sana na kulijibu linataka kituo na nitatoa mchango wangu kwa kadiri ya upeo wangu...Kitu kikubwa na cha mwanzo unapofunga Dish ni lazima ujue south ni wapi na kama ulivyo toa mfano kama satelite unayotaka iko 36°W au 68.4°E utafika vipi?...ingawa positions zote mbili hakuna satelite yeyote sijui kwa sababu gani za kiufundi.
Labda tuanze namna ya kuipata south,kimsingi unatakiwa kutumia compass au kuna option ambayo nadhani ina wepesi kwa wengi,ikifika saa sita kamili mchana ukiwa juani kivuli chako kinakuwa south nahapo ndio 0° ..sasa hatua ya pili utapata vipi position tunayoitaka.
Hatua ya pili utatumia saa kuanzia saa sita kamili (12:00) kulia east-kushoto west na mshale wa kwanza wa dakika ni 6° kwa maana hiyo utakwenda na mtiririko huo(ukienda east au west) 6° 12° 18 24° 32° 38° 42° 48° na kundelea.
Jamani nauliza TING bado zinapatikana FREE katika AMOS5?
Habari JF. Jana nilifanikiwa kupata package ya Irib kupitia Arabsat 5C@20degree East katika kijiji cha Bukombe wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita ambako niko kwa shughuli za kitaaluma.Ilinigharimu Dakika zisizozidi 5kupata iribu.
Arselona, Package ya IRIB ina channel gani nzuri? na vipi ni za kiingereza au lugha gani?
Mimi nina dish la ft 10 ambalo mwanzoni nilikuwa nalitumia kupata local channels lakini kwa sasa hizo local nazipata kupitia dish la ft 6. Hebu naomba ushauri nilenge satellite gani yenye channel nzuri inayoweza burudisha moyo wangu?
Na jeje naweza weka lnb ya Ku kwenye dish hilo la chekecheke (Sio la bati - solid)?
Bro me ninalo dish la ft 8 na riciva 2 za mpeg 2 ya arisat na mediacom vip ninaweza kuipata nilesat
Hapana mkuu mpangilio wa satelte popote ni ukianzia katikati unaelekea east au westmkuu mbona kama nyuzi sifuri inakuwa north