moudyjr
Senior Member
- May 28, 2013
- 175
- 37
Sasa wao wanatakatufanyeje kamahuduma zao sio nzuri na sisi huku vijijini tutampa nan situmenunua hawakutuazima,wala hatukupewa hata maelezo yoyote.
hata mimi nilimepatwa na mshangao maana hivi sasa napigiwa simu kutoka nairobi moja kwa moja na wanataka waje nyumbani waishushe sasa na mie niligawa na dish lake; wala sikumbuki kuambiwa kuwa hii package nilikodishwa... majanga haya maana wakija home ndio watavuruga kila kitu !