Thanks Mkuu ila unaweza kunipa maujanja ili niweze kuangalia TV nyingi zaidi coz niki SEARCH zina kuja CHANNEL kama 130 ila zinazo funguka ni 16 zingine inakuwa SCRAMBLED or WEAK SIGNAL
si dodoma tu, ni africa
nzima.ila unahitaji rcva yenye uwezo wa uandika funguo. Ukihitaji srt
4922 naweza kukupatia. wasiliana nami kupata bei yako.

Utazipata bila shida channel nyingi pale ni Mpeg 2 jitahidi upate na Lnb yenye nguvu. Zakulipia ni chache ni Abudhabi na Aljazeera sport.
Mgjd. Kwa Dar irib package yapatikana kwa dish la 6ft prime focus. check na mtaalam arselona kwa rcva ya kuweza kufungu keys za irib.Dish size gani kwa Dar mkuu
Nna decoder ya dstv its been a while haijalipiwa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu,Ningependa kujua kama naweza kutumia kwa local decoder
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using Tapatalk
Naomben Msaada channel za Kenya kwenye Lnb iliopo chino ya Lnb ya Local channel imebaki 1 K24.
Habari wana JF,
Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.
Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.
Aidha nategemea kupata maswali kutoka kwenu ili niweze kutoa majibu.
Mijadala imefunguliwa rasmi.
Okey,naombanifahamishwe settng ya dish ft6 kwa kufunga lnb2 nipate local chanel zote na za nje,hatua kwa hatua tafadhal ni maeneo ya geita.