Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Thanks Mkuu ila unaweza kunipa maujanja ili niweze kuangalia TV nyingi zaidi coz niki SEARCH zina kuja CHANNEL kama 130 ila zinazo funguka ni 16 zingine inakuwa SCRAMBLED or WEAK SIGNAL

inbuilt decoder yako ni ya dvb-t. hakuna jinsi utaweza fanya ku unscrimble paytvs. utapata tu fta tvs.
 
kuna article kwa yule mnageria kuwa unaweza ku up date AZSKY G6 je kuna mtu yoyote alijaribu ku update iyo receiver
 
si dodoma tu, ni africa
nzima.ila unahitaji rcva yenye uwezo wa uandika funguo. Ukihitaji srt
4922 naweza kukupatia. wasiliana nami kupata bei yako.

Kwa dish size gani Dar mkuu?
 
si dodoma tu, ni africa
nzima.ila unahitaji rcva yenye uwezo wa uandika funguo. Ukihitaji srt
4922 naweza kukupatia. wasiliana nami kupata bei yako.

Dish size gani kwa Dar mkuu
 
Utazipata bila shida channel nyingi pale ni Mpeg 2 jitahidi upate na Lnb yenye nguvu. Zakulipia ni chache ni Abudhabi na Aljazeera sport.

Ni aina gani ya lnb yenye nguvu na nitaijuaje mkuu! msaada tafadhali!
 
mgjd. Kwa dar irib package yapatikana kwa dish la 6ft prime focus. Check na mtaalam arselona kwa rcva ya kuweza kufungu keys za irib.

dar imebaki rcva moja tu ya srt 4922.
 
Nimeshafunga tayari dish futi 6: Leta maneno ya code sasa. Niwekee transponder/polarity vitu kama hivyo nikaongeze channel. Za Nigeria ziko kibao nimeziweka
 
Nilesat wajameni kwa dish la sm 135/4.5ft hapa Dar hakuna MBC CHANNELS? AMA NIMEKOSEA SETTING? TP 11938; 12322; ZOTE VERTICAL HAZINA SIGNAL, VIPI KUNA MTU ANAZIPATA MBCs zote?
 
Nimeshafunga tayari dish futi 6: Leta maneno ya code sasa. Niwekee transponder/polarity vitu kama hivyo nikaongeze channel. Za Nigeria ziko kibao nimeziweka

hulo uliko siyo irib ilipo.
 
Hakuna mwenye idea na Nilesat? hii Tp 12322V27500 na 11938V 27500 vipi? mbona haziwaki? hakuna yeyote anayezipata MBC ACTION,MBC MAX, MBC 1,2,3,4 KWA DISH LA KU 130CM?
 
Nna decoder ya dstv its been a while haijalipiwa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu,Ningependa kujua kama naweza kutumia kwa local decoder

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using Tapatalk
 
Nna decoder ya dstv its been a while haijalipiwa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu,Ningependa kujua kama naweza kutumia kwa local decoder

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using Tapatalk

utumie kwa local decoder? Cjui unamaanisha nini. Niuzie mimi kama huihitaji sn
 
Naomben Msaada channel za Kenya kwenye Lnb iliopo chino ya Lnb ya Local channel imebaki 1 K24.
 
Ivi mkuu ile ofa uliyotoa ya strong dicoder bado unaendelea nayo nataka na mimi nkitoka shinyanga nipotie apo moro kuchukua moja pamoja na cccam moja mkuu
 
Habari wana JF,

Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.

Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.

Aidha nategemea kupata maswali kutoka kwenu ili niweze kutoa majibu.

Mijadala imefunguliwa rasmi.

Okey,naombanifahamishwe settng ya dish ft6 kwa kufunga lnb2 nipate local chanel zote na za nje,hatua kwa hatua tafadhal ni maeneo ya geita.
 
Okey,naombanifahamishwe settng ya dish ft6 kwa kufunga lnb2 nipate local chanel zote na za nje,hatua kwa hatua tafadhal ni maeneo ya geita.

Za nje zipi unazozitaka? Maana local chanel na za Msumbiji ziko kwenye satellite ya Intelsat 906 unatumia C-Band LNB. Ukiambataniasha C-Band kwa juu yake utapata Aljazeera news. Ukifunga na Ku-Band, itabidi ufanye kazi ya ziada kuzilocate juu ya dish lako ili upate FTA. Ni pm namba yako ya cm ntakusaidia japo upate za bongo!
 
Dsatltd unachafua thread za watu kwa kuweka tangazo lako kila mahali. Yaani kila nikiona tangazo lako nasikia kinyaaa....
 
Back
Top Bottom