mjusi kafiri
Member
- Oct 8, 2010
- 67
- 52
Habari wana JF,
Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.
Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.
naomba msaada wako ilu kuzipata mkuu
Kwa STAR TV ni simple ingiza frequency 3886 v 4900 inapatiaka vizuri kabisa, kwa CITIZEN lazima ubinue kidogo dish lako kuelekea juu frequeny zake ni 3862 v 3100 enjoy
Huu uzi ulikua mtamu kweli kwa FTAHabari JF. Shughuli za kila siku zimenifanya nipotee humo ndani kwani mrefu kidogo. Kupotea kwangu kumenifanya nijirundikie pms nyingi sana. Nyingi ya hizo jumbe zinahusu receivers. Kuhusu rcvas napenda kuwajulisha kuwa AZSKY G6 @TSH200,000 XMAN G8 @TSH220,000 NA STRONG SRT 250,000.
Huu uzi ulikua mtamu kweli kwa FTA
lakini sasa umeharibika sababu ya kuingiza ma g6 nk
mkuu naomba msaada wako nataka nione kombe la dunia nina dish la ft 8 na rcv DREAM BOX 800 niko dsm
risiva yako ni mpeg4? je ina uwezo wa kuedit bisskey? kama ina sifa nilizotaja hapo juu unaweza kupata chanels nyingi zinaonyesha kombe la dunia na michezo mbali mbali. chek nami pia karibu ulimwengu wa fta satellite tvs ujifunze mengi!!!! karibu
Huu uzi ulikua mtamu kweli kwa FTA
lakini sasa umeharibika sababu ya kuingiza ma g6 nk
Huu uzi ulikua mtamu kweli kwa FTA
lakini sasa umeharibika sababu ya kuingiza ma g6 nk
risiva yako ni mpeg4? je ina uwezo wa kuedit bisskey? kama ina sifa nilizotaja hapo juu unaweza kupata chanels nyingi zinaonyesha kombe la dunia na michezo mbali mbali. chek nami pia karibu ulimwengu wa fta satellite tvs ujifunze mengi!!!! karibu
Unanyege we bwabwamayu tumia akili acha utoto bila risiva huwez pata fta chanel hii ni biashara hata ww ruksa kutangaza bidhaa hapa au una hisa sehem fulani au g6 ni kikwazo katika shughuli zako fikiri kabla hujacomment nyama we!!!!!!
Unanyege we bwabwa
usiniletee ushoga
By Mayu : Huu uzi ulikua mtamu
kweli kwa FTA
lakini sasa umeharibika
sababu ya kuingiza ma
g6 nk
Tusipo chukua hatua sasa ndio uzi unaelekea huko
+dax na +mayu +nendeni mmu, sisi tunaelekea Brazil kupitia fta ,,,mnatuchelewesha...
nawashangaa watu wanaleta matusi humu sijui tutafikaje brazil
Unanyege we bwabwa
usiniletee ushoga
kweli dada mayu nina nyege nyingi sana sijafila kitambo unataka kufirwa na mm?
Wakuu, ni vyema tufanye mijadala pasi na matusi.