Bangsweezy
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 880
- 200
kyenju nimekusoma ucjari so me nimefunga mjadala aman itawale
We ------ mimi na wewe nani kaanza kumtukana mwenzakehuyo mayu angekuwa mstaarabu asingepost ujinga wa matusi me mwenyewe mtoto wa uswazi matusi nayajua vilevile so kikubwa kuheshimiana hapa tupo kuelimishana siyo matusi ila kwakuwa yeye ndo kaanza ile kauli mbiu ya akuanzae mmalize ndo nimetumia hapa. sooo naenda brazili huyu MAYU na matusi yake namuacha hapa aendelee kutukana. thats hip hop ni kumchana live bila uwoga ndo falsafa yangu. im done its dax mpalestina.
Hii ni kauli ya kiungwana hata kama hatukubaliani mawazo?Kulikuwapo na sababu ya wewe kuandika matusi haya?
mayu tumia akili acha utoto bila risiva huwez pata fta chanel hii ni biashara hata ww ruksa kutangaza bidhaa hapa au una hisa sehem fulani au g6 ni kikwazo katika shughuli zako fikiri kabla hujacomment nyama we!!!!!!
wakuu mi nimgeni kwenye mambo aya ilanaumia decoda ya eurostar es 9200 gold+ na inakamata satellite mbili tu zenye channels ambazo ni PAS 7/10 C ya local channls na Pansat7_10Ku apo ni za dini.ila inaonyesha satellite kama badr4,amos1,eutelsat36B.satw3,satw1 na nyingine sema aioneshi tp frequency wala symbol rate yani 0000.sasa apo naweza fanyaje na izo freq nizipate nipo dar naombeni msaada wenu wakuu
Hii ni kauli ya kiungwana hata kama hatukubaliani mawazo?
Safi ushari mzuri kila MTU ana Uhuru wamawazo yake nkuvumiliana na kumshauri kistarabu ili tusonge mbele.
ukipitia kurasa zote utapata hayo na mengine ucyoyajua bado
wanajamvi...kwa ajili ya world cup,nataka ninunue dish na receiver,kwani kwa sasa natumia Startimes na nilipo ni bondeni basi ni shida.
Nishaurini size ya dish pamoja na receiver, pia azam tv wana channel itakayoonesha world cup? Dstv siitaki coz it's very costful ktk packages zao.
naomba msaada wako ilu kuzipata mkuu
TBC1 inaonyesha kwenye Azam TBC imo ndio
Citizen ishasepa kwenye dish ft6
Huko bondeni uliko wanzako wanatumia vsambusi ngani jarbu kuangalia wanzio ukonao karbu .Ushauri tumia Azam mpira ambao hautarushwa tbc1 wao watarusha kwa channel zngine kwa mujbu walivyonielekeza huduma kwa wateja azamtv
Mkuu imesepa lini?
Tangu juzi jioni kwangu haipo[/QUO
Ndo maana hata kwangu haionekani
Tangu juzi jioni kwangu haipo[/QUO
Ndo maana hata kwangu haionekani
Unatumia rciver gani na dish la saizi gani napengine upo pande zawapi kaka.