Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

maana wengine wananishauri nitumie dish la ft 4 na wengine la ft6 ambalo mpaka sasa naisi kushindwa!
 
Msaada jinsi ya kupata chanel ya emmanuel tv ktk king'amuzi cha azam.
Ok! anza na menu nenda satellite list bonyeza ok kisha itakupeleka pale kwenye Eutelsat w bonyeza batoni ya kijani chini ya rimoti yako,add satellite yaani tunga kwa kuipa jina mfano "Eutelsat w9" kisha weka input freq iwe ile ya 9600/10600 kama sijakosea kisha press menu kusave,rudia tena hatua hizo hizo ukifika katika satelliye list nenda katika ile satellite ya kutunga(Eutelsat w9) bonyeza ok bonyeza yena batoni ya kijani(add) ingiza hiyo transponder sasa 10721 H 30000,zitaingia chaneli 27 ikiwemo na Emmanuel tb,sunna tv,quran tv,muvi tv na nyingine nyingi tu.
 
top movies back on eutelsat 7w,sasa unaweza kuipata top movies chanel maarufu na yenye movie za ukweli ktk eutelsat7w.waliifunga kwa muda mrefu lakini sasa naona wameiachia.pia ziko chanel nyingi sana zaidi ya hiyo 10873 v 27500 Eutelsat 7 West A at 7.3°W - LyngSat
 
sasa hiyo eutelsat 7w inapatkana mwelekeo wa dstv au na je? Naweza 2mia dish la startimes kuipata hiyo sat?
 
naweza pata.FTA channels kwenye qsat decorders???? natumia dish dogo la dstv
 
  • Namwomba Mwenye ujuzi na Astra 2F Atusaidie ujuzi wa kuinasa!!!ikiwezekana atupie picha ya dish linaloitajika na mwelekeo wake na size ya dish,Natokea Arusha Mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…