Mavella
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 459
- 76
Astra 2f imenitoa jasho kuipata nipo Arusha natumia dish la ft6 ku babd ya stargold ya fuji msaada please kwa wajuzi wa JF
Anglia beam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Astra 2f imenitoa jasho kuipata nipo Arusha natumia dish la ft6 ku babd ya stargold ya fuji msaada please kwa wajuzi wa JF
maana wengine wananishauri nitumie dish la ft 4 na wengine la ft6 ambalo mpaka sasa naisi kushindwa!
Ok! anza na menu nenda satellite list bonyeza ok kisha itakupeleka pale kwenye Eutelsat w bonyeza batoni ya kijani chini ya rimoti yako,add satellite yaani tunga kwa kuipa jina mfano "Eutelsat w9" kisha weka input freq iwe ile ya 9600/10600 kama sijakosea kisha press menu kusave,rudia tena hatua hizo hizo ukifika katika satelliye list nenda katika ile satellite ya kutunga(Eutelsat w9) bonyeza ok bonyeza yena batoni ya kijani(add) ingiza hiyo transponder sasa 10721 H 30000,zitaingia chaneli 27 ikiwemo na Emmanuel tb,sunna tv,quran tv,muvi tv na nyingine nyingi tu.Msaada jinsi ya kupata chanel ya emmanuel tv ktk king'amuzi cha azam.
Nikitumia dish dogo kama ya zuku itawezekana kupata eutelsat 7w
sasa hiyo eutelsat 7w inapatkana mwelekeo wa dstv au na je? Naweza 2mia dish la startimes kuipata hiyo sat?
Nikitumia dish dogo kama ya zuku itawezekana kupata eutelsat 7w
Huwezi kupata kwa dish dogo la zuku wala la azam,tafuta kuanzia cm 120 nakuendelea na ku yenye nguvu