Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Hapo eutelsat16e ipo chanel inaitwa rdv inaonesha epl hizo canal ulizopata zipo nyuzi 17e
 
Wachina wameturahisishia mambo ila upande mwingine ni tabu tupu!!nina recever ya Wiztech 8010 hd classic yani ni bonge la mtama ili nimeligundua pale nilipo jaribu kuinstalk famware nimadudu matupu!
 
Wachina wameturahisishia mambo ila upande mwingine ni tabu tupu!!nina recever ya Wiztech 8010 hd classic yani ni bonge la mtama ili nimeligundua pale nilipo jaribu kuinstalk famware nimadudu matupu!
Emu tueleweshe kitu gani special kipo humo ambacho ni unique ukilinganisha na STB nyungine na ujaribu kutushawishi tukazifaidi na sisi[emoji41]
 
Dar tunaipata kwa dish ya futi 8 na lnb kama fuji lakini jaribu hapo tanga kwa dish ya futi 6
 
Hiyo sat beam yake iko mbali so offset ndo mpango ila hata kwa ft6 utaipata sema inataka msuli na ukomavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…