Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ungeweka na jina la sat, frequnce na uelekeo mku tafadhali tuna ihama azam
 
Wapendwa nina furahaaa kuwaona tena Mbc kwa hewa!nimeimiss sana Mbc action was my best station!!
 
wakuu habari,kuna shemeji yenu yupo Mkuranga,Pwani ananipigia kelele kila siku nimuunganishie Dish. Sasa nimepata Azam Dish,lakini nataka pia nimfungie LNB nyingine ili aweze kupata FTA chanells nyingi zaidi,lakini kwa kutumia ungo huo huo wa Azam na decoder yao,je inawezekana?
 

tena sana hata Bein sport anaipata
 

inawezekana. nunua ku nyingine kwa ajili ya continental mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ilisolokobwe,nashukuru sana na nitafurahi kama utanielekeza ni vitu gani natakiwa niwe navyo ama nifanye nini ama ni wapi naweza pata fundi mzuri wa kunifanyia hiyo kitu.
 
Mi natumia dish la Azam na rcv ya med nachek bein sport ila kwakuwa humu kuna wabishi ngoja niwaache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…