Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa nina furahaaa kuwaona tena Mbc kwa hewa!nimeimiss sana Mbc action was my best station!!
Wanapatikana Sat gani mkuu ?
Nauza dish la 1.3 m offset lipo full kwa bei poa kama unalihitaji ni pm..
Huu uzi watu wameutelekeza mbaya mno
wakuu habari,kuna shemeji yenu yupo Mkuranga,Pwani ananipigia kelele kila siku nimuunganishie Dish. Sasa nimepata Azam Dish,lakini nataka pia nimfungie LNB nyingine ili aweze kupata FTA chanells nyingi zaidi,lakini kwa kutumia ungo huo huo wa Azam na decoder yao,je inawezekana?
tena sana hata Bein sport anaipata
Naomba ujanja wa kupata bein sport kwa kutumia king'amuzi cha azam mkuu GANJA ROLLER.

Huwezi ipata kwa azam full stop
Bein sport inafunguliwa kwa biss key Azam decoder hazifungui biss key hilo ndo tatizo.
Huwezi pata milele
Nashukuru sana, nimeshangazwa na GANJA ROLLER ndo maana nikamwomba.
Hivi nikitumia Qsat au G6 naweza pata beiN sport?
Mi natumia dish la Azam na rcv ya med nachek bein sport ila kwakuwa humu kuna wabishi ngoja niwaache
Mi natumia dish la Azam na rcv ya med nachek bein sport ila kwakuwa humu kuna wabishi ngoja niwaache