MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Lile group la whatsApp kuhusu elimu ya fta satellite bado lipo?
Please join 0683806670(whatsApp group)
add 0716885825add 0754 645253
Habarini wandugu hivi ni receiver ipi nzuri na inaweza kuunganisha madishi zaidi ya manne Diseqc inayosapoti zaidi ya nne.
Karibu receiver zote za mpeg4 zinasupport diseqc switch za njia nane.hakikisha kwenye specs zake wameandika supports diseqc 1.1.
Samahani hiyo wiztech yako 999super inafungua keys za channel na pia ulinunua kwa kiasi gani cha pesa?Mbona yangu Wiztech 999 ni MPEG4 Ila inasapoti nne 4 tu kiongozi.
Samahani hiyo wiztech yako 999super inafungua keys za channel na pia ulinunua kwa kiasi gani cha pesa?
Mbona yangu Wiztech 999 ni MPEG4 Ila inasapoti nne 4 tu kiongozi.