Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

mimi weekend zote hua siendi vibandani tena,nakaa nyumbani kwangu na laptop then naunganisha tv direct kwenye tv yangu, SMART wana bundle nzuri sn na ni cheap pia link yao ipo vzr sn, pia voda ni nzuri kwa sehemu ambapo SMART haishiki vzr kwakweli vibandani labda niamua tu kwenda, pia unaweza tumia decoder flani inaitwa DREAMBOX ni nzuri sn hii kitu ila unatakiwa kuwa na reliable Internet connection, me everything through Internet now days hayo madish kwangu wala sihitaji.
 
Habarini wandugu hivi ni receiver ipi nzuri na inaweza kuunganisha madishi zaidi ya manne Diseqc inayosapoti zaidi ya nne.
 
VIPI WADAU !!
hivi nitawezaje kuweka biss key kwenye receiver ya STAR-X X1 plus
 
jamani ninadish LA azam na Kingamuzi chake nimenunua lnb ya pili nataka niweke nipate Amos mi si mtaalamu wa madish ila nikipata mwongozo ntaweza kufunga msaada wenu nafanyaje niipate hiyo amos
 
Habarini wandugu hivi ni receiver ipi nzuri na inaweza kuunganisha madishi zaidi ya manne Diseqc inayosapoti zaidi ya nne.


Karibu receiver zote za mpeg4 zinasupport diseqc switch za njia nane.hakikisha kwenye specs zake wameandika supports diseqc 1.1.
 
Mbona yangu Wiztech 999 ni MPEG4 Ila inasapoti nne 4 tu kiongozi.

Kwenye specs zake kuna sehemu wameandika kwamba inasupport diseqc 1.1.Angalia specs kwenye box lake.Hii feature kama ipo basi unakosea kufanya configuration za diseqc switch yako.
 
Back
Top Bottom