MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
mimi weekend zote hua siendi vibandani tena,nakaa nyumbani kwangu na laptop then naunganisha tv direct kwenye tv yangu, SMART wana bundle nzuri sn na ni cheap pia link yao ipo vzr sn, pia voda ni nzuri kwa sehemu ambapo SMART haishiki vzr kwakweli vibandani labda niamua tu kwenda, pia unaweza tumia decoder flani inaitwa DREAMBOX ni nzuri sn hii kitu ila unatakiwa kuwa na reliable Internet connection, me everything through Internet now days hayo madish kwangu wala sihitaji.