Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kwa mwenye frequency za TBC1 kwenye satellite ya Intelsat 906, anisaidie maana blind scan haiileti kabsa.
 
Za tbc1 hazfanyi kazi, mdau ambae kwake inafanya kazi anipe signal strength au tp znazosoma kwenye decoder yake
 
Mimi Nina continental decoder kwa sasa matangazo yanapatikAna kwa shida pia channel ziko chache 36 tu

Naomba msaada wako mkuu
0685 051 061
 
wakuu ni decoder gani nzuri na ya bei poa ya kupokea c band kwa kupata channels za nyumbani? nipeni majina na models zake ili nitafute na niweze kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…