Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 814
Nahisi wamehama mi yangu ina scan ila nimeambulia patupu. Ss kujua kwamba wamehamia wapi ndo mpango.
watapatikana tu hao continental ngoja tuvute subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi wamehama mi yangu ina scan ila nimeambulia patupu. Ss kujua kwamba wamehamia wapi ndo mpango.
Mzigo huu unapatikana kwa bei Poa. 230,000/- Wahi sasa. Ni "Strong SRT 4922A" new model. Contact Me on 0715-240140.
kama umefanikiwa kupata Aljazeera kwa signal ya juu kabisa, basi uki blind scan unaweza kupata chnls nyingi za India,na Korea, kuna baadhi zina Indian movies, ila wakt mwingine zipo ON na OFF.
Usipokuwa makini na mwangalifu na ugonjwa wa ASAS unaweza kuwa kama bendera mtu akikuambia tu huku kuna chnl tayari utaanza kugeuza ungo wako bila sababu ya lazima na pengine chnl unayoitafuta haipo katika eneo unaloishi. Tujifunze kutafuta kwanza uhalisia wa habari kabla hatujaanza kugeuza nyungo zetu.
Aidha napenda pia kusema kwa mara nyingine tenakuwa rcva yoyote ya mpeg4 ni mpeg2 na rcva yoyote ya DVBS-2 ni DVBS-1 na kinyume chake si sahihi
Mazee kama una ungo wa ft 8 unaweza kupata Yahsat1 na local chnls zote bila shida yoyote. Yahsat kuna chnls nyingi za movie SD NA HD, KAMA VILE MBCs zote, Dubai zote, Fox, gem,Discovery, star movies, etc ni patamu hata kuliko E7wa. Yahsat ipo karibu sana NSS 12,ILIPO K24 YA KENYA. UNANYANYUA DISH KIASI CHA 4CM YAANI UNAACHA MUHIMILI KUZAMA NDANI 4CM. KWA LNB ULIYO NAYO UNAPATA BEAM ZOTE WEST NA EAST. UTAENJOY ILI MBAYA.
Kwa urahisi ni hivi: Mpeg4= wake na mpeg2=wanawake. Ukiwa na mlinganyo huo ni sahihi kusema wake (wanawake walioolewa) wote wa watu ni wanawake ila si kweli kwamba wanawake wote ni wake za watu. Kwa mtazamo huu ndugu josephjul40 bado kuna shughuli kubwa ya kuendelea kueleza mambo ya msingi kabla watu hawajaweza kutega nyungo. Kutegeza ungo inaweza kuwa rahisi sana (kwani watu wengi hufanya kwa mazoea) Layman anaweza kujua kuwa ALU (Artemether Lumefantrie) inatibu malaria lakini hawezi kujua ni kwa namna gani inatibu. Ndivyo ilivyo na kwa watu wanaoweza kutega nyungo kwa mwelekeo fulani. Kama kuna yeyote ambaye haamini ninachosema awe wa kwanza kujibu swali hili : NI KWA NINI UNGO WA PACKAGE YA AZAM UNAELEKEZWA MAGHARIBI WAKATI SATELAITI YAKE IPO MASHARIKI? (NI MUHIMU UNITAJIE SATELAITI HII).Fatilia kuona majibu yatakayoletwa hapa.hapana, ngoja nikurekebishe.
Siyo kuwa receiver yeyote ya mpeg4 = na mpeg2
na pia dvb-s = dvb 1
hapo ni kuwa channel zozote zinzzokamata kwenye mpeg 2 pia huukamata katika dvb-s hivyo ni
mpeg 2 = dvb- s
Na tena channel zinazokamata katika mpeg 4 vilevile hukamata na kwenye dvb-s2 hivyo
mpeg4 = dvb- s2
Bwana hassanM unatakiwa pia utuambie ni wapi unapatikama (location) ili kupata msaada wa kutosha. Swali la kujifunza uliuelekeza wapi ungo wako?Habari wadau!!! Leo nimejaribu kutafuta Yahsat 1A @52.5 East, kutumia dish ya 6ft lakini kwa bahati mbaya sikufaulu.Frequence zenye nimetumia ni hizi(11900H27500) (11938H27500) (11766V27500) Iwapo shida ni frequence naomba mnijulishe maana nimekwama kabisaaa!
Bwana hassanM unatakiwa pia utuambie ni wapi unapatikama (location) ili kupata msaada wa kutosha. Swali la kujifunza uliuelekeza wapi ungo wako?
hapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY
PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE
Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s
samahani, kuuliza ila msinichekee, Azam reciver ni mpeg2/dvb-s