Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Attachments

  • Eutelsat 7 West A at 7.3°W - LyngSat Maps - Mozilla Firefox_002.png
    Eutelsat 7 West A at 7.3°W - LyngSat Maps - Mozilla Firefox_002.png
    144.8 KB · Views: 263
Sorry ni 26 05 82 AD 05 02 81 88

sasa katika hizi picha mbili picha ya kwanza ni kwamba nikibrowse Eutalsat 7a inaonekana hiyo ila nikisach kwa receiver yangu inakuja bila hayo majina yao halisi sasa nashindwa kujua Bein sport ni ipi hapo?
 
Attachments

  • SC20150419-200916-1.jpg
    SC20150419-200916-1.jpg
    14 KB · Views: 278
  • SC20150419-204301.png
    SC20150419-204301.png
    53.3 KB · Views: 260
sasa katika hizi picha mbili picha ya kwanza ni kwamba nikibrowse Eutalsat 7a inaonekana hiyo ila nikisach kwa receiver yangu inakuja bila hayo majina yao halisi sasa nashindwa kujua Bein sport ni ipi hapo?

Hapo kuna channels zinazohitaji biss key. weka hiyo key then zitajifungua. Ni channel gani ambazo unazipata clear labda ungezitaja kwa majina ili tuweze kukusaidia upate zinazomiss.
 
Wana JF nifanyeje ku update Receiver ya wiztech 8010 HD Classic ili iwe na uwezo wa ku edit Biss keys
 
Wana JF nifanyeje ku update Receiver ya wiztech 8010 HD Classic ili iwe na uwezo wa ku edit Biss keys

bonyeza kitufe chekundu kisha 0000 utakua tayari umemaliza patch.
 
Wana JF nisaidien startv siipati kwenye (fta) je imeshaondolewa hewani au tatizo ni nini saa hv ni kama wiki sasa na hz itv,eatv, na capital zinapatikana ucku tu msaada wenu naipata channel ten tu ndo ipo vizur na wenyew kesho wanahama kwenye mpeg 2.
 
Nami natumia. Wiztech -wiz 999HD ni dvbs2 nahtaji jua jinsi ya kupdate hiyo decoder ila pia sipati local channel tangu. Baada ya pasaka ilianza itv ,capital,eatv nw zote but sometime tbc yaonesha mda mwingine inakataa ila channel za nje fresh. Tatzo ni nini haswa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nilikuwa naipata vizur tu lkni juz kati tu ndo imepotea gafla tu nimejaribu kuiset bila mafanikio MEING'ATI
 
Last edited by a moderator:
Wakuu natafuta mbadala wa DSTV... huu upuuzi wa Dstv kutumia dola naona ni ujinga, sasa hivi wanapandisha kila siku kisa dola imepanda, Ghrama imekua kubwa sana na sioni kama kuna value for money

Hamna Dish ambalo naweza funga nikapata movies na mpira? kuna zile channels za lbc, Dubai One, Being sport etc.. how do i go about it?
 
Nami natumia. Wiztech -wiz 999HD ni dvbs2 nahtaji jua jinsi ya kupdate hiyo decoder ila pia sipati local channel tangu. Baada ya pasaka ilianza itv ,capital,eatv nw zote but sometime tbc yaonesha mda mwingine inakataa ila channel za nje fresh. Tatzo ni nini haswa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hili ni tatizo la wengi ndug hazpaticani kiurahisi sasa hv sijui tatzo ni nini labda sat imezingua mi ndo nahis maana signal zipo chin mnomno.
 
For soccer free all great european leagues Epl La liga BBundasliga and Seria A go For irib package @ arabsat 5c and movies nilesat @ 7w

They are definately alternative for dsthieves
 
Channel ten sasa inapatikana kwa frequency 4064 na symbol rate 1329 lakini lazima receiver iwe ya mpeg4 satellite ni ileile Intelsat 906 nyuzi 64.2 East.
 
Back
Top Bottom