Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Vipi Startv watarudi lini kwenye madish ya kawaida?Nasikia kwenye Azam inapatikana vizuri.
 
[quote uid=224909 name="NGARUKA" post=17987356]https://chat.whatsapp.com/LHViklvnYqyDYTivG7PGWJ[/QUOTE]<br />The group is mainly for swahili speaking FTAs.<br />Sorry for others but we have other english groups whatsapp me @+255767791405 if you want mainly english<br />Sorry for not telling this earlier.
 
Star TV sasa inapatikana katika satellite ya ABS 2 @75E Frequency 3821 V DVB-S SR 2400.Hii satellite iko pale ilipo Ting ila Star Tv iko kwenye C band tofauti na Ting ambayo iko Ku Band ila satellite ni ileile.
 
Wameanza lini kuwa katika c band
 
Nina shda ya kupata Star tv, Tbc,na chnl ten. Nimejaribu kugeuza Fb(kibao) ili kuset kwny Horntal labda ningepata,lakini sikufanikiwa. Nakosea kitu gani? Lnb nyingine za Aljazeera,Kenya na Emmanuel zote zinafanya kazi. WHAT MIGHTY BE THE PROBLEM.?
Tv ya Kenya nitaipataje kwenye dish la free to air ?
 
Ndugu Mimi nipo arusha je tunaweza wasiliana uje unisetie dish langu la ft 6 nipate channel za eatv na nyingine?
 
Wapendwa msaada namna ya kuipata sport 24 maana nimeiangaikia kwa wiki mbili sasa bila mafanikio japo nilikua nazisaka Nss 12 channel ni nazo kutana nazo ni T-chad,Bfbs,bbc one,bbc two,bfbs extra,sky sport 1 uk na zingine nyingi bila hii sport 24 kuingia,pia naombeni kujua hivi kuna C band yenye nguvu kuliko hizi nilizo zizoea kama Galf star na Star gold?ahsanteni
 
Tumia ungo wa ft8.LNB zenye nguvu ni Supermax 777 na Eurostar ya njia mbili.
 
Back
Top Bottom