Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Sports 24 kwani Inapatkana? Mbna imekata kwa Ttakribani wiki 3 hv... au kuna satelite mpya? Na kuhusu dish mm nlikua naipata kwa ft 6 tuu... ilikua kwenye nss 5
 
*PakSat 1R @38.East*

4004 V 15555 MPEG2/BISS

SID.0004 Key. F7E9 A7AB 1957 CDAB

Or Key. F7E9 A700 1957 CD00
 
d0635564c55b517e1f2397e11158c238.jpg


Hata mi nimezipata somewhere ila zinakataa kufungua kabisa,Je? Kwako zimekubali?
 
Idman Azerbaycan
-AzerSpace 46°E -11175 H H 27500
search hiyo nayo Inaonesha epl pia kama sports 24 hd
 
Wakuu nisaidieni kingamuzi kimefuta local chanels zote nazirudishaje?
 
Back
Top Bottom