Habari
ndugu bonykaaya,
Unaweza pata NatGeo Gold kwenya Africasat-1A
@ 46° East >>>>National
Geographic Channel - Videos, TV Shows & Photos - Sub-Saharan Africa
Gold
Prime focus dish ya 1.8 meter yatosha kupata hi satellite.
Africasat-1A @ 46° East Footprint
![]()
NatGeo Gold iko frequency 3730 V DVB-S2 SR 30000
Kama Astrovox receiver yako iko
DVB-S2
compliant
, utapa hi frequency.
Tena Astrovox receiver iwe nauwezo wakufungua Biss Key kwani hi chaneli
iko coded under biss.
Utapa Biss key Ya NatGeo Gold kwenye link>>>>
Key-Sat: Biss
Mimi natumia Strong 4922 HD receiver>>>
Picha za NatGeo Gold>>>>
![]()
![]()
Tena
kwenye hiyo frequency kuna channel kutoka Africa kusini inaitwa GLOW
TV.
![]()
Pamoja
Ndugu.
mkuu funguka zaid, vp hamna limitation ya beam n mkoa wowote unaweza
ipata hapa tz? vp lnb unatmia yoyote? je ili uipate nilazima iwe main, yaan
bila kubebanisha lnbf?
