Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

af nipe freq ya channel zngne zinazoweza patkana hapo kwa 62 , hv ni lnb gan nzuri ya cband
 
WAP TV, Emmanuel TV, ifilm TV, tlc TV, my TV promo kiujumla zipo kibao.frq 12722 v 26657,Botswana TV 12657 v 4884 ukisha pata signal za hizo frq zingine zitaingia zenyewe mkuu.
 
af nipe freq ya channel zngne zinazoweza patkana hapo kwa 62 , hv ni lnb gan nzuri ya cband

Hapo kabla QTV,NTV na KTV zilikuwa zinapatikana japo encrypted lakini zilikuwa zinaonesha,tatizo zina scratch sana, na pia ili uzipate utapaswa kupunguza signal za ITV kwani utapaswa kuingiza dish ndani zaidi. fanya blind scan utapata kama umeset vizuri.
 
QTV Citizen na NTV zote ni FTA.Ila QTV na NTV inabidi uwe na receiver ya MPEG4 na ungo wa ft 8 ndo unaweza kuzipata muda wote.
 
Hivi unaweza kutumia kadi ya MyTV kwenye receiver ya SRT4922 na pia hizo kadi zinapatikana wapi hapa Tanzania?
 
QTV Citizen na NTV zote ni FTA.Ila QTV na NTV inabidi uwe na receiver ya MPEG4 na ungo wa ft 8 ndo unaweza kuzipata muda wote.

Basi hapo sawa mm nipo Biharamulo nilijalibu kuzitafuta nilipata tu Citizen na Winners pro TV. Dish ft 6 rcver ya Wiztech 999.
 
For those who interested in action movies,African movies(Nigeria Ghana),programs 4 kids,wwe live games,football and many more now its your time to redirect your offset to astra 2f where you can hit this "Multitv Ghana" with this freq 12522 V 27000/27042.happy hunting!
 
For those who interested
in action movies,African movies(Nigeria Ghana),programs 4 kids,wwe live
games,football and many more now its your time to redirect your offset
to astra 2f where you can hit this "Multitv Ghana" with this freq 12522 V
27000/27042.happy hunting!

I think one might need an extra large dish to be able to nab this bird, unless you are much closer to the beam than most of us in Bongo land. Like us in Dar es salaam must toil.
 
HAWA TBC1 NI "PAY TV AU FTA?"-Tunashuhudia television za Taifa nchi zote zinazotuzunguka,SIGINAL zao zipo juu hata hapa bongo tunawanasa safi kabisa hata kwenye ft6. ITV(super brand) siginal ipo juu tangu tuwafahamu. Tbc ni ya nani? siginal ipo chini na haipatikani, tatizo ni vifaa au mafundi hawana uwezo?WABADILISHE JINA WANAKERA SANA,, "TBC!??.
 
I think one might need an extra large dish to be able to nab this bird, unless you are much closer to the beam than most of us in Bongo land. Like us in Dar es salaam must toil.

Its true my brother,in Dar you need a bigger dish! Last year I was able to catch the bird with 80cm offset in Mbeya tz and my friend in Iringa is using a 90cm to nab this bird. In Dar try 135cm offset,I think it will be ok
 
Back
Top Bottom