Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
498
Reaction score
955
Habari Wana jamii!! Mpo salama? Mpo poa?
.
Niende Moja kwa moja kwenye habari, nimewaza hili nikikumbuka matukio mawili ambayo Siwezi kuyasahau, yanafundisha sana, na kuonyesha vile vile.
.
TUKIO LA KWANZA.
nikikua na mpenzi mwanamke mzuri alieajiriwa jeshini ni daktari, alipata mafunzo yote ya kijeshi akawa Afande, nilisoma nae na nilikua navutiwa nae sana nikiwa shule, miaka iliposogea nikamwelezea hisia zangu, akakubali, kwakua nilikua nampenda sana ilinibidi nifupishe safari nikakae nae, tukakutana sehemu tukakaa pale siku tatu.. miaka ikasogea nikaridhia huyu ndie mke nikamwambia mpaka marafiki, akanipa mpaka namba za wazazi wake.. tulikua tukikaa mikoa tofauti Mimi Kanda ya ziwa yeye pwani... Siku Moja ghfla akaniambia anakuja nilipo, nilifurahi anakuja kwangu kijana napona kwa muda, alifika kweli usiku, akafikia kwangu tukalala pamoja, akaniambia lengo la safari yake anaenda kujengea kaburi la baba yake, bas kesho yake alienda kweli kijijini akarudi, alipofika akaniaga Tena anaenda kwa ndg yake mmoja, muda wa jioni akaniomba nikamchukue kwani ndg yake huyo hataruhusu atoke, nikaenda kweli kumfuata, pale kwa tamaduni za wale watu wakahisi sisi ni wapenzi, ila akanitambulisha Mimi ni rafiki yake, tukapikiwa kuku mkubwa sana usiku ule tukala na kuanza safari kuja kwangu.. akalala na kesho yake akarudi kazini kwake..
.
Baada ya kurudi kazini kwake, akapotea hewani kabisa (alikua na hii tabia na alisingizia anaenda porini, na sababu za kutokuaga ni hua inakua ghafla sana 😂😂).
.
.
Nikasubiri kama week Moja, hapatikani ya pili hapatikani, nikampigia rafiki yake akaniambia nae hampati hewani, nikamwambia fuatilia pengine amepatwa na jambo baya, akasema angesikia atakua yupo sawa.. ikakata kama mwez hv sijui lolote..
.
Ghafla week ya tatu nikakuta amepostiwa na Mc mmoja maarufu mjini kuwa usiku WA jumamosi ijayo anaolewa, eh nilishangaa sana, mc alifanya mahohiano nae akasema atayapost youtube, nikaenda kupaangalia nikakuta anamsifia jamaa yake alivyomvumilivu wamekaa kwenye mahusiano kwa miaka kumi, huku mm nikiwa nae kwa miaka kama mitatu hv... 😂😂😂 Nilichoka sana!!!
.
.
TUKIO LA PILI.
Mwanamke alidanganya nimempa mimba, anaomba matumizi nikawa natuma, nimetuma miamala sana, (alisafiri mbali na tulipokuwa)..
.
Siku anataka kurudi akasema anahisi vibaya sana Hali yake si nzuri, nikawa namtafuta hewani hapokei, saa sita mchana akasema mtoto ametoka anaomba Hela akajisafishe, aisee nikamuuliza alipo akawa anadanganya maana mji aliokuwepo nilikua na watu nawafahamu, baada ya majibizano ya muda nikagundua ni mwongo hata mimba hakuwa nayo.. ni tapeli tuu!!
.
.
Ni miaka kama 16 Sasa Toka nipofahamiana na hivi viumbe!! Ukiviingilia kwa jicho la huruma utateseka sana, wengi wao wamepitia maumivu nyuma kwenye maisha Yao!!!!
 
Habari za mahusiano unaweza sababisha mtu akalazwa bure
 
Ni miaka kama 16 Sasa Toka nipofahamiana na hivi viumbe!! Ukiviingilia kwa jicho la huruma utateseka sana, wengi wao wamepitia maumivu nyuma kwenye maisha Yao!!!!😂
 
Wewe dunia ina watu 8.3 billion na leo wamezaliwa wengine unakaa kuwazia matukio yaliyotokea zamani tena miaka 16 ya ujuzi sijui uzoefu wako 😂..kuwa mwanaume acha upuuzi Mkuu.
Ohh mwanajeshi this mwanajeshi that usikute hata akirudi utamuomba msamaha kwa yeye kukusaliti 😂
 
1. 😭 2. 😭 3. 😭 4. 😭 5. 🥲 6. 😂

Na ikawa mwisho, na maisha yanaenda
 
Mapito na maumivu na kutokuachilia ndio chanzo cha wengi kupata tatizo la afya ya akili na wengine kuuana kwenye ndoa...

NB: Kabla hujaoa au KUOLEWA hakikisha unampima mwenza wako akili
Hivi vitu muda mwingine omba tu Mungu yasikujie vibaya, unaweza fanya yote ila za wapendanao zikitimia hamna namna.
 
Nilidate na binti mnene ana kitambi hivi kimeshuka basi nikiwa namnyonya K kile kitambi kinanifunika kwa juu nakosa pumzi. Yaani nikijifanya sterling nasuffocate kabisa.

Kwahiyo inabidi niwe nakizuia kitambi ili kupata space ya kutosha.
 
1781422181871.jpeg

​
 
Back
Top Bottom