Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

Huyo wa kwanza mwanajeshi, alikua anakupenda sana, sema tu tamaa au Kuna shinikizo lilimpelekea mpaka akaamua kuolewa kimya kimya, ili asikuumize roho,

Huenda aliyemuoa ndiye aliyempatia mafanikio aliyonayo kwa sasa, kwa Hadi ya kuoana,
Wewe ulikua na Hadi Gani kwake?
 
Mapito na maumivu na kutokuachilia ndio chanzo cha wengi kupata tatizo la afya ya akili na wengine kuuana kwenye ndoa...

NB: Kabla hujaoa au KUOLEWA hakikisha unampima mwenza wako akili
Kumpimaje sasa??
 
Huyo wa kwanza mwanajeshi, alikua anakupenda sana, sema tu tamaa au Kuna shinikizo lilimpelekea mpaka akaamua kuolewa kimya kimya, ili asikuumize roho,

Huenda aliyemuoa ndiye aliyempatia mafanikio aliyonayo kwa sasa, kwa Hadi ya kuoana,
Wewe ulikua na Hadi Gani kwake?
Ahadi gani? Unatakiwa Uplay game kwa akili... Ukijimaliza unaweza poteza vingi zaidi.. wengi ni vijana hatujayafikia mafanikio makubwa kiasi hicho... Na kipindi hicho nimemaliza chuo na miaka mitatu tu mtaani, unaamua kuwaza kuacha uzinzi uoe, kumbe Kuna formula kidogo😅
 
Back
Top Bottom