Agynasa mshana Jr ni binadamu wa kipekee sana anayeishi maisha ya kumpendeza Mungu.Bado nina safari ndefu ya nikufahamu Mshana jr, ila niaanza kukuelewa kidogo, na kama niko sahihi utakuwa mtu mzuri
Mwee sasa kama mimi ni kizazi cha Tatu au Nne ndio nivumilie kuishi katika laana hizo kaka yangu?Hizo walishamkasirisha Mungu na zitaondoka baada ya kizazi cha tatu ama cha nne.... Sanasana kinachofanyika ni kupozapoza tu kwa ibada na matambiko ya kawaida...kuendelea kufanya kafara za kuchinja ni sawa na kuzidi kuzilisha zile roho
Nashukuru kwa taarifa mkuu, mwanzoni nilikuwa namfikiria ni mtu wa mambo ya giza, ila naanza kumwelewa sasaAgynasa mshana Jr ni binadamu wa kipekee sana anayeishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Utakuwa uliona kwenye Tamthilia ya second chance!!
Uongo..Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu!
Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha mwanadamu sio roho. Makosa ya kiutendaji,makosa binafsi, makosa ya kukusudia na kutokusudia , habari za bahati mbaya na maneno kama heri ningejua....! Haya yote si ya kiroho ni ya kimwili
Ukisoma habari za jicho la tatu, machale ,ndoto taarifa ufunuo na maono unaona kwa usahihi kabisa ulimwengu wa roho ulivyotutangulia kufahamu yajayo kabla ya nafsi zetu kupata taarifa rasmi
Kila tukio liko preplanned. Hakuna bahati mbaya, ni limitations za ufahamu tu wa kibinadamu ndio umezuiwa kuona haya
Maisha yako na yangu yako kwenye mchoro kamili tangu kuzaliwa mpaka kufa...........
Utazaliwa lini na nani utapitia nini na wapi utakutana na nani! Utakuwa nani, utafanya nini, utaanguka wapi na kusimama wapi! Yote haya hayatokei kwa bahati mbaya
Jee huu ni ubaguzi?
Kwamba mmoja tangu kuzaliwa mpaka kufa yeye ni mafanikio tu?
Kwamba tangu kuzaliwa mpaka kufa ni yeye na matatizo matatizo na yeye?
Kwamba wengine husimama na kushamiri kisha huanguka na kupotea kabisa?
Kwamba wengine hukulia kwenye shida nyingi na matatizo lakini huja kutoboa na kutoka kimaisha?
Ulimwengu wa roho hauyumbishwi...formula zake ziko kama zilivyo michoro yake ni kamili na kamilifu unapojaribu kuisahihisha na ishu za waganga nyota na ngekewa unajitafutia dhahama usiyoiweza
Utafanikiwa kwa kipindi tu lakini asili itakurudisha kwenye shina lako kiroho..pale ulipotakiwa kuwa na hapo ni sawa na kujaribu kunyoosha bati lililopinda na kupondeka
Ulimwengu wa roho hauna modifications! Ishi maisha yako ukijibidiisha na ufanyayo katika mstari sahihi...usijaribu kutoka nje ya mstari kwa kuchanganya ya rohoni na ya kidunia ...hutafika mbali
Spiritual world has many possibilities.. you assert that it is rigid which is not true.. otherwise we don't have to pray because we believe prayer changes things in spiritual world..
Ni hivi ni lazima tuchochewe kufanya kazi kwakuwa roho husika iko kwenye mwili wa nyama lakini ni kazi halali sio kuanza kwenda kuumiza ama kudhuru wengine ili wewe upateMkuu, (Mshana Jr) vipi ile misemo, katika VITABU vya KIROHO inayo chochea, ama kuamsha HARI ya Binaadamu kuamka na kupambana na mazingira yake.
Msemo kama "ASIYE FANYA KAZI NA ASILE".
Tunaona wazi Mungu akituambia/akitukumbusha kwamba, NO EASY COMES.
Hili ni andiko katika INJILI (BIBLE).
Kuna andiko lingine nalo kutoka katika moja ya vitabu vya Dini..unasema "Mwenye kuweka jitihada na jambo atapata"
Vipi katika haya Mkuu (Mshana)
hatuoni kuwa mustakabali/hatima nzima ya MAISHA ya Mwanaadamu iko MIKONONI mwake...!!?
Maana ni kama MUUMBA wa ROHO anajivua MAJUKUMU...
JE..? Kama jamii, tuamini kuwa maisha haya tuliyo nayo Watanzania, ndio tuliyo andikiwa na Mungu Muumba..!?
Hatusitahiki kamwe kupata maisha kama ya China ama Amerika..!!
Naomba ufafanuzi kidogo kwa alie muelewa Mshana.
Kweli atuhitaji kupata MILO mitatu ya uhakika kama wale WALIBYA wa GHADAFI...!!?
Naombeni ufafanuzi...
Anhaaaaaa!!!! Sasa ndo naelewa kwa nini waliokuwa wakinipiga vita kazini nimewashinda na kujikuta wao ndio wanaopigika kuliko mimiMwisho wako utasimama wewe na wao kuanguka vibaya...ila tu kama utasimama ulipo bila kujiunga katika mahangaiko yao ya visasi vijicho husuda na kutesana
Mungu hajawahi kushindwa na matendo ya mwanadamu na mambo yake yote! Kwakuwa vyote ni uumbaji wakeAnhaaaaaa!!!! Sasa ndo naelewa kwa nini waliokuwa wakinipiga vita kazini nimewashinda na kujikuta wao ndio wanaopigika kuliko mimi
Tena wale wa chooni[emoji23] [emoji23] [emoji23] nzi bila shaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena wale wa chooni