Ulimwengu wa roho upoje?

Ulimwengu wa roho upoje?

Ndoto ni mfululizo wa picha, mawazo, mihemko na hisia ambao unatokea akilini, kwa kawaida bila makusudi, katika hatua fulanifulani za usingizi,
Huyo mzee kutabiri hailazimishi sisi kuamini kuwa Kuna ulimwengu wa roho njo na picha digital ni kubwa saivi
Haya mambo yanachanganya sana. Mm naona wanaosema hakuna ulimwengu wa roho wafanyie utafiti wa kutosha kuthibitisha km ulimwengu huo haupo. Wasisemd tu kuwa haupo kwa sababu hawaioni. Wajiulize ni kwann watu husema ulimwengu huo upo? Wana ushahidi gani? Ni vitu gani vinavyowatjibitishia kuwa ulimwengu huo upo?

Hata wale wanaosema kuwa Kuna ulimwengu wa roho nao wajiulize kwann watu wengine wanasema ulimwengu huo haupo?

Mm nilikuwa muumini mkubwa sana wa sensi hizi 5 tulizo nazo wanadamu(Wanyamama) yaani kuona, kunusa, kugusa, kuonja na kusikia. Nje ya hapo sikuamini km Kuna la ziada. Niliamini na kujihakikishia kuwa hivyo vina ushahidi na madai mengine kuwa Kuna ulimwengu mwingine mfano pepo/Ahera au miujiza sikukubaliana nayo kabisa.

Lakini kama miaka 5 tu nyuma nilianza kupitia mambo ya ajabu ambayo, km Kuna mtu atanielezea sababu zake na inatokeaje, nitashukuru sana na huenda nikaendea na Imani yangu ya awali.

Ni hivi, kuanzia mwaka 2016 nilianza kuota kuwa nipo katika eneo lililozunbukwa na kinyesi Cha binadamu. Yaan pachafu balaa. Kila nilipoota ndoto hii haikuchukua zaidi ya saa 24 bila kupata balaa. Ni balaa zilizobaribu uchumi wangu na maisha yangu kabisa.

Ndoto hii imeendelea hadi ss. Nikiota tu najiandaa na balaa. Iwe ajali, kuibiwa. Kutokea mzozo au ht kushtakiwa. Naweza kumaliza ht miezi 3 mambo yakiwa mazuri tu. Lkn siku nikiota ndoto hii lazima kitu kikubwa negative kinitokee.

Nilijaribu kuuliza kwa watu mbali mbali, watu wa Imani ya dini na hata wanafanya tahajudi. Nilijibiwa kuwa Kuna ulimwengu wa roho ambapo mambo hufanyika kabla ya kudhihirika ktk ulimwengu wa mwili. Km wanavyoita wenyewe, na mm hupata taarifa tu ya mambo ambayo yameshafanyika lkn bado tu hayajaonekana.

Nilisoma ktk psychology kuwa ndoto ni matokeo ya mambo mengi yaliyopita na yaliyohifadhiwa ktk subconscious na mawazo yanayopita akilini mwa mtu. Lkn haya yanayonitokea hayapo kabisa ktk theory hii.

Ni kwanini najua kupitia ndoto balaa linalokuja kupitia ndoto? Kuna mwanasayansi ataweza kunieleza maana ya haya yanayonitokea?

Kwa wale wa Imani ya ulimwengu wa roho, Kuna uwezekano wowote wa kuepusha balaa ambalo litanitokea baada ya kuarifiwa kupitia ndoto?

Haya mambo, km hayajakutokea huwezi kuelewa nini kinamaanishwa na wengine.

Naombeni msaada kwa hili wakuu kina Mshana Jr, Mzizi Mkavu, Kiranga nk.
 
Haya mambo yanachanganya sana. Mm naona wanaosema hakuna ulimwengu wa roho wafanyie utafiti wa kutosha kuthibitisha km ulimwengu huo haupo. Wasisemd tu kuwa haupo kwa sababu hawaioni. Wajiulize ni kwann watu husema ulimwengu huo upo? Wana ushahidi gani? Ni vitu gani vinavyowatjibitishia kuwa ulimwengu huo upo?
Hata wale wanaosema kuwa Kuna ulimwengu wa roho nao wajiulize kwann watu wengine wanasema ulimwengu huo haupo?
Mm nilikuwa muumini mkubwa sana wa sensi hizi 5 tulizo nazo wanadamu(Wanyamama) yaani kuona, kunusa, kugusa, kuonja na kusikia. Nje ya hapo sikuamini km Kuna la ziada. Niliamini na kujihakikishia kuwa hivyo vina ushahidi na madai mengine kuwa Kuna ulimwengu mwingine mfano pepo/Ahera au miujiza sikukubaliana nayo kabisa.
Lakini kama miaka 5 tu nyuma nilianza kupitia mambo ya ajabu ambayo, km Kuna mtu atanielezea sababu zake na inatokeaje, nitashukuru sana na huenda nikaendea na Imani yangu ya awali.
Ni hivi, kuanzia mwaka 2016 nilianza kuota kuwa nipo katika eneo lililozunbukwa na kinyesi Cha binadamu. Yaan pachafu balaa. Kila nilipoota ndoto hii haikuchukua zaidi ya saa 24 bila kupata balaa. Ni balaa zilizobaribu uchumi wangu na maisha yangu kabisa. Ndoto hii imeendelea hadi ss. Nikiota tu najiandaa na balaa. Iwe ajali, kuibiwa. Kutokea mzozo au ht kushtakiwa. Naweza kumaliza ht miezi 3 mambo yakiwa mazuri tu. Lkn siku nikiota ndoto hii lazima kitu kikubwa negative kinitokee.

Kwani wewe Huwa hauoti ndoto zingine. Tofaauti na hiyo? ,,,Unajua mara nyingi sana Huwa tunafuata akili zetu zikiamini kitu flani nikweli au kinauhusiano na kitu flani basi nivigumu kuikataza, kwahiyo nikwammbie tu majananga yapo nayataendelea kuwepo tu uote au usiote, lakini nilazima majanga kwa mwanadamu anaeishi lazima ayapitie uwe masikini au tajir uwe kiongozi au muongozwa, ......Sasa kama Kuna ulimwengu wa roho na ulimwengu huu wa mwili, basi Kuna sababu gani ya mambo ya huo ulimwengu wa roho kusababisha wewe uumwe malaria,uibiwe pesa zako,upate ajali, au ufe? Nakwann huu ulimwengu hauonekan mpaka ulale na uote? Mimi na wenzangu wengine tuliojifunza kuhusu ulimwengu tunajua kwamba ulimwengu wa roho nikitu cha kufikirika tu, ni mojaa kat ya vitu ambavyo havipo ila binadamu anadhaani vipo kwasababu mwanadamu anapenda vitu vya kutsha, vya ajabu na vyakufikirika,
 
Hakuna ajuaye maana hawa wote wanaojibu uko hivi au uko vile wanatumia hisia zao na maono yao ya uongo kutuaminisha vitu wanavyotaka wao tujue
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana. Ht mm nmekuwa na bado sijaamini km ulimwengu huo upo. Haya yalikuwa maelezo niliyokuwa nikipewa na wataalam wa masuala ya Imani wakiwemo viongozi wa dini. Lakini bado majibu yako ni mepesi sana kujibu sababu ya chanzo Cha tatizo langu.
Huwa naweza kukaa ht miezi 6 mambo yakaenda vzr tu. Lakini mambo yakitaka kuharibika lazima nipate taarifa kupitia hiyo ndoto. Ni muda mrefu sana. Ni zaidi ya miaka 7 Sasa. Kwa hali hiyo kuniambia tu kuwa huwa sioti ndoto zingine inaweza kuwa jibu la kuniridhisha? Siyo lazima ujue kila kitu humu Duniani ndugu yangu. Labda yupo atakayekua anajua nini hasa kinanitokea. Atakuwa anajua kwann napata taarifa ya maafa mapems kabla hayajanifika.
Majibu yako ni sawa na daktari wa ngazi ya chini anayejaribu kumtibu mgonjwa mwenye matatizo yanayosababishwa na saikolojia. Baada ya kupima malaria, UTI na presha, akikuta vipo normal humuambia mgonjwa kuwa huumwi ww, ht km yupo wodini amelazwa. Mgonjwa lazima atamshangaa tu kwa sababu anajua anaumwa sana na ndiyo mana amelazwa.
Mm bd nahitaji majibu kwa anayejua, sababu za kupata taarifa ya majanga mapema. Na kama nikipata hiyo taarifa, naweza kufanyaje kuzuia hilo janga/majanga kutokea?
 
Kutoka kundi Number tatu ni maamuzi ambayo yanahitaji kuwa na imani mfano mimi nilikuwa nipo huko ila ilitokea shida kubwa sana ikanipasa ni muulize Mungu je kweli upo na kwanini uko kimya so nilifunga siku mbili kavu na kutokulala siku mbili kavu, macho yaliingia ndani hapo ilishuka nguvu isiyoya ya kawaida mwili ukawa una vibrate sana ikamulika maisha yangu ya nyuma na kwanini huwa nafeli na ikamulika Maisha ya mbeleni hadi kufa katika hali ya ajabu sana. Kuna siku nitakuja kuandika hii inshu. Ninakupa moyo ukiwa unatoka Kwenye kundi hili usiwaze sana maana Mungu atakusaidia yeye hata kama una udhaifu gani yeye ndo atakusaidia hatua kwa hatua. Maisha yako yatabadilika ghafla mfano mimi ndani ya miaka 3 mambo niliyoyafanya sikuwahi hisi naweza yafanya katika maisha yangu.
Kaka ur right
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana. Ht mm nmekuwa na bado sijaamini km ulimwengu huo upo. Haya yalikuwa maelezo niliyokuwa nikipewa na wataalam wa masuala ya Imani wakiwemo viongozi wa dini. Lakini bado majibu yako ni mepesi sana kujibu sababu ya chanzo Cha tatizo langu.
Huwa naweza kukaa ht miezi 6 mambo yakaenda vzr tu. Lakini mambo yakitaka kuharibika lazima nipate taarifa kupitia hiyo ndoto. Ni muda mrefu sana. Ni zaidi ya miaka 7 Sasa. Kwa hali hiyo kuniambia tu kuwa huwa sioti ndoto zingine inaweza kuwa jibu la kuniridhisha? Siyo lazima ujue kila kitu humu Duniani ndugu yangu. Labda yupo atakayekua anajua nini hasa kinanitokea. Atakuwa anajua kwann napata taarifa ya maafa mapems kabla hayajanifika.
Majibu yako ni sawa na daktari wa ngazi ya chini anayejaribu kumtibu mgonjwa mwenye matatizo yanayosababishwa na saikolojia. Baada ya kupima malaria, UTI na presha, akikuta vipo normal humuambia mgonjwa kuwa huumwi ww, ht km yupo wodini amelazwa. Mgonjwa lazima atamshangaa tu kwa sababu anajua anaumwa sana na ndiyo mana amelazwa.
Mm bd nahitaji majibu kwa anayejua, sababu za kupata taarifa ya majanga mapema. Na kama nikipata hiyo taarifa, naweza kufanyaje kuzuia hilo janga/majanga kutokea?
Kuna uzi humu unahusu hayo mambo unaeza kukusaidia utafute 7seven karibu hapa Mtumishi
 
Haya mambo yanachanganya sana. Mm naona wanaosema hakuna ulimwengu wa roho wafanyie utafiti wa kutosha kuthibitisha km ulimwengu huo haupo. Wasisemd tu kuwa haupo kwa sababu hawaioni. Wajiulize ni kwann watu husema ulimwengu huo upo? Wana ushahidi gani? Ni vitu gani vinavyowatjibitishia kuwa ulimwengu huo upo?
Hata wale wanaosema kuwa Kuna ulimwengu wa roho nao wajiulize kwann watu wengine wanasema ulimwengu huo haupo?
Mm nilikuwa muumini mkubwa sana wa sensi hizi 5 tulizo nazo wanadamu(Wanyamama) yaani kuona, kunusa, kugusa, kuonja na kusikia. Nje ya hapo sikuamini km Kuna la ziada. Niliamini na kujihakikishia kuwa hivyo vina ushahidi na madai mengine kuwa Kuna ulimwengu mwingine mfano pepo/Ahera au miujiza sikukubaliana nayo kabisa.
Lakini kama miaka 5 tu nyuma nilianza kupitia mambo ya ajabu ambayo, km Kuna mtu atanielezea sababu zake na inatokeaje, nitashukuru sana na huenda nikaendea na Imani yangu ya awali.
Ni hivi, kuanzia mwaka 2016 nilianza kuota kuwa nipo katika eneo lililozunbukwa na kinyesi Cha binadamu. Yaan pachafu balaa. Kila nilipoota ndoto hii haikuchukua zaidi ya saa 24 bila kupata balaa. Ni balaa zilizobaribu uchumi wangu na maisha yangu kabisa. Ndoto hii imeendelea hadi ss. Nikiota tu najiandaa na balaa. Iwe ajali, kuibiwa. Kutokea mzozo au ht kushtakiwa. Naweza kumaliza ht miezi 3 mambo yakiwa mazuri tu. Lkn siku nikiota ndoto hii lazima kitu kikubwa negative kinitokee.
Nilijaribu kuuliza kwa watu mbali mbali, watu wa Imani ya dini na hata wanafanya tahajudi. Nilijibiwa kuwa Kuna ulimwengu wa roho ambapo mambo hufanyika kabla ya kudhihirika ktk ulimwengu wa mwili. Km wanavyoita wenyewe, na mm hupata taarifa tu ya mambo ambayo yameshafanyika lkn bado tu hayajaonekana.
Nilisoma ktk psychology kuwa ndoto ni matokeo ya mambo mengi yaliyopita na yaliyohifadhiwa ktk subconscious na mawazo yanayopita akilini mwa mtu. Lkn haya yanayonitokea hayapo kabisa ktk theory hii.
Ni kwanini najua kupitia ndoto balaa linalokuja kupitia ndoto? Kuna mwanasayansi ataweza kunieleza maana ya haya yanayonitokea?
Kwa wale wa Imani ya ulimwengu wa roho, Kuna uwezekano wowote wa kuepusha balaa ambalo litanitokea baada ya kuarifiwa kupitia ndoto?
Haya mambo, km hayajakutokea huwezi kuelewa nini kinamaanishwa na wengine.
Naombeni msaada kwa hili wakuu kina Mshana Jr, Mzizi Mkavu, Kiranga nk.
Msome huyu jamaa 7seven anaeza onesha njia
 
Hawa jamaa dawa yao nikuwaletea picha ya huo ulimwengu tu baaaasi, ndo watajua kuwa huo ulimwengu upo au ikiwezekana uwapeleke kabisa (,ila kwa nauli zao) ili kuepusha huu mvurugano
 
Hawa ambao hawaamini kuhusu ulimwengu wa roho kwamba ni bayana mimi huwa naona ni watoto wadogo wapo chuo na mtaa hawajaujua kuna mtu alisema you can fool people once,but you can’t fool people all the time .kama dini na uganga ungekua ni story za kusadikika na hazina nguvu yoyote sidhani mpaka leo hii izi nadharia zingekuwepo,maisha yangu nimemuona Mungu akitenda so ukitaka kujua ya rohoni mtafute Mungu ndio utaweza ona hii ,hata wa upande wa waganga pia wanajua uwezo wa ulimwengu wa roho na wanaweza wakakupa ushahidi
 
Wewe ni muongo, tutumie picha ya huyo mungu uliemuona na huo ulimwengu wa roho,,,,, au haukuenda na camera huko.
 
Kwani wewe Huwa hauoti ndoto zingine. Tofaauti na hiyo? ,,,Unajua mara nyingi sana Huwa tunafuata akili zetu zikiamini kitu flani nikweli au kinauhusiano na kitu flani basi nivigumu kuikataza, kwahiyo nikwammbie tu majananga yapo nayataendelea kuwepo tu uote au usiote, lakini nilazima majanga kwa mwanadamu anaeishi lazima ayapitie uwe masikini au tajir uwe kiongozi au muongozwa, ......Sasa kama Kuna ulimwengu wa roho na ulimwengu huu wa mwili, basi Kuna sababu gani ya mambo ya huo ulimwengu wa roho kusababisha wewe uumwe malaria,uibiwe pesa zako,upate ajali, au ufe? Nakwann huu ulimwengu hauonekan mpaka ulale na uote? Mimi na wenzangu wengine tuliojifunza kuhusu ulimwengu tunajua kwamba ulimwengu wa roho nikitu cha kufikirika tu, ni mojaa kat ya vitu ambavyo havipo ila binadamu anadhaani vipo kwasababu mwanadamu anapenda vitu vya kutsha, vya ajabu na vyakufikirika,
Mnakaza sana mafuvu wazee, Mpaka inachosha...Huwa nawaona kama watu fulani wenye matatizo ya akili muda mwingine
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana. Ht mm nmekuwa na bado sijaamini km ulimwengu huo upo. Haya yalikuwa maelezo niliyokuwa nikipewa na wataalam wa masuala ya Imani wakiwemo viongozi wa dini. Lakini bado majibu yako ni mepesi sana kujibu sababu ya chanzo Cha tatizo langu.
Huwa naweza kukaa ht miezi 6 mambo yakaenda vzr tu. Lakini mambo yakitaka kuharibika lazima nipate taarifa kupitia hiyo ndoto. Ni muda mrefu sana. Ni zaidi ya miaka 7 Sasa. Kwa hali hiyo kuniambia tu kuwa huwa sioti ndoto zingine inaweza kuwa jibu la kuniridhisha? Siyo lazima ujue kila kitu humu Duniani ndugu yangu. Labda yupo atakayekua anajua nini hasa kinanitokea. Atakuwa anajua kwann napata taarifa ya maafa mapems kabla hayajanifika.
Majibu yako ni sawa na daktari wa ngazi ya chini anayejaribu kumtibu mgonjwa mwenye matatizo yanayosababishwa na saikolojia. Baada ya kupima malaria, UTI na presha, akikuta vipo normal humuambia mgonjwa kuwa huumwi ww, ht km yupo wodini amelazwa. Mgonjwa lazima atamshangaa tu kwa sababu anajua anaumwa sana na ndiyo mana amelazwa.
Mm bd nahitaji majibu kwa anayejua, sababu za kupata taarifa ya majanga mapema. Na kama nikipata hiyo taarifa, naweza kufanyaje kuzuia hilo janga/majanga kutokea?
Ndugu,sio wewe tu,mimi nina binti yangu,nikiwa choka mbaya yeye huwa anajua na hunifuata na kuniambia baba mbona huna furaha?? Kama pesa utapata tena leo,na kweli siku haipiti napata mzigo,kizuri zaidi ni hata asipo niambia ,nika mwambia kuwa sina pesa basi huniombea kidogo tu na kweli napata pesa,huwa nashangaa sana,lakini kwa mimi mwenyewe nikiwa mbali naye nikapata uhitaji wa peaa huwa namuomba sana Mungu anipe pesa na baada ya hapo huwa napata sana amani ya moyo hata kama sina hata mia ila jua halizami bila kuoata pesa,Mungu nimwema sana ndugu zangu
 
Ulimwengu wa roho naamini huwezi kumthibitishia mtu kwa maneno bali vitendo. Mtakesha hapa.
 
Huwa sivutiwi sana na mabishano kwenye elimu nyeti kama hii. Navutiwa zaidi na hali ya kuelimishana na kupata uelewa zaidi, siyo vizuri kuwekeza nguvu kubwa mahali pasipokuwa na tija
Elimu nyeti ni ni nini na iko namna gani?
 
Back
Top Bottom