Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Kabisa mkuu . Nakubaliana na wewe asilimia 100Scania zinapigwa bao na How kwenye industry ya mchanga na kifusi.
Ushuru wa Scania ni kichefuchefukinachoamua ni urefu wa safari na uzito wa kazi, how hana cha kuijaribu scania kwenye root ndefu na kazi nzito, peleka howo njia ya sumbawanga mwanza kama hujaacha hela kwa wenye scania, halafu kuita scania bei mnatumia kigezo gani nenda zako france, italy kwa wakulima huko utaikuta imebondeka tu kiana leta bongo wewe ni ugali nyama choma tu
Rahisi huumiza
Hamna mbongo anaweza kununua brand new Scania , tunaishia tuu kununua hizi mitumba za Scania , ambazo saa ingine kufika Morogoro inazaa , hazina warranty.Wachina ni wewe na bei yako!! Kuna Shacman hizo Scania zenu ni takataka. Afu mchina uzuri wake unatoa kitu kwenye karatasi
The shortcut is the longest way you were not going[emoji419][emoji1545]Rahisi huumiza
Asante kwa taarifa bwana KengeDaah tuko burundi hapa juzi natoka kusalimiana na jamaa wa HOWO sisi tuna Scania(Zote za MO) dakika 5 nyingi kuingia wasap group limewaka moto picha zinatumwa wanasema jamaa kapata ajali kuangalia gari imeingia mtaroni kichwa chote hakitamaniki na Jamaa Kafariki on spot mwili hautamaniki..nikabaki kusema tu(Mchina ni mchina tu)yaani ajali ndogo ila outcome gari halitamaniki
Point yangu ni:
HOwo hana stamina ya mzigo mzito.
Hana stability ya safari ndefu
Ni mlaini sana
Yaani usiombe uwe na mzigo mzito kwenye mpando na howo
MO Anasemaje? GSM AnasemajeYANI UNALINGANISHA SCANIA NA HUO UCHAFU[emoji848]