Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Kuna maeneo korofi barabara mbovu SCANIA mende haingii ila HOWO au SHACMAN zinaingia.

Tembelea machimbo ya mchanga yale ya kibabe kama mto Mpigi au Vingunguti ni mwendo wa HOWO, SHACMAN na Mjapan FUSO double(mbawa)

Twende kwenye kazi za dumping kama migodini huwezi kukuta kampuni imewekeza kwenye SCANIA utamkuta Mchina HOWO au SHACMAN.

Njoo kwenye kupiga tipa SCANIA unaweza kuibwaga hata sehemu tambarare HOWO inapiga tipa mpaka tairi za mbele zinanyanyuka na hainguki kama SCANIA

Mchina mnunue mpya akiwa na makararasi yake ipe service hautajuta. Ni gari za kazi
Kwenye industry pekee ambayo mchina atamzidi scania ni kwenye industry ya mchanga na kokoto. Hapo mchina yuko 100%.
 
unasifia sifia gari ambayo baada ya miaka 10 unakuja kuomba msaada ukatolewe maji kiunoni mgongo sijui una matatizo sijui nini na nn mkuu ukiwa serious na maisha yako kwepa sana gari za kichina howo iyo cabin tuu mchana joto kalii usiku baridi kalii unaifananisha vipi na scania? gari za kichina ni uchafu ni vile tu umasikini madereva hawana mbadala familia inataka kula watoto waende shule ila suka inammaliza now faw mpya wanaiita MAYELE sababu ya kutetemeka tetemeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna mbongo anaweza kununua brand new Scania , tunaishia tuu kununua hizi mitumba za Scania , ambazo saa ingine kufika Morogoro inazaa , hazina warranty.
hujui chochote sasa pale scania tanzania daily wanauza gari 0 milleage wanazitoa wapi? hizi nextgen ni mpya zinashushwa deile asas ameshusha kibao last week
 
unasifia sifia gari ambayo baada ya miaka 10 unakuja kuomba msaada ukatolewe maji kiunoni mgongo sijui una matatizo sijui nini na nn mkuu ukiwa serious na maisha yako kwepa sana gari za kichina howo iyo cabin tuu mchana joto kalii usiku baridi kalii unaifananisha vipi na scania? gari za kichina ni uchafu ni vile tu umasikini madereva hawana mbadala familia inataka kula watoto waende shule ila suka inammaliza now faw mpya wanaiita MAYELE sababu ya kutetemeka tetemeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio uchafu mkuu , MO asingenunua , wewe una akili kama MO ?
 
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana , Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana , Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza . Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati View attachment 2635647View attachment 2635649
Bado haijatokea gari ya kishindana na scania ,mfano mdogo tu angalia abood ana scania marcopolo namba A zipo hadi leo zinadunda na mpya bado, angalia mchina namba hata niambie hali yake, scania huwezi kulinganisha gari ya mzungu na ya mchina hata siku moja
 
Sio uchafu mkuu , MO asingenunua , wewe una akili kama MO ?
Sasa huyo mo anayesema kalipa 20b ambazo hazionekani pia unamuamini, muhindi siku zote anaangalia unafuu na si ubora ,dereva ndio utateseka na kufa mapema, mfano howo akimpa gari kwa mkopo nafuu si lazima achukue lakini haimaniishi ni bora kuliko scania, wewe si unaona yale magari sijui mabajaji yake ya kusambazia bidhaa yanapiga makelele na kutoa moshi unadhani yule dereva akizeeka atakuwa na hali gaani
 
Upo sahihi mkuu waboss wanajiangalia wao
 
kinachoamua ni urefu wa safari na uzito wa kazi, how hana cha kuijaribu scania kwenye root ndefu na kazi nzito, peleka howo njia ya sumbawanga mwanza kama hujaacha hela kwa wenye scania, halafu kuita scania bei mnatumia kigezo gani nenda zako france, italy kwa wakulima huko utaikuta imebondeka tu kiana leta bongo wewe ni ugali nyama choma tu
Tatizo mnajadili kwa ujumla mno!! Uzito wa kazi ni upi?

Uzito wa kazi utakaoiangamiza Howo, ndio huo huo utakaoangamiza R380, G380, P380 & 114 380.
 
unasifia sifia gari ambayo baada ya miaka 10 unakuja kuomba msaada ukatolewe maji kiunoni mgongo sijui una matatizo sijui nini na nn mkuu ukiwa serious na maisha yako kwepa sana gari za kichina howo iyo cabin tuu mchana joto kalii usiku baridi kalii unaifananisha vipi na scania? gari za kichina ni uchafu ni vile tu umasikini madereva hawana mbadala familia inataka kula watoto waende shule ila suka inammaliza now faw mpya wanaiita MAYELE sababu ya kutetemeka tetemeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dereva wa Howo ndani ya miezi 3 lazima aanze kutumia dawa za maumivuu ya mgongoni.. Akizidisha miaka 2 bhas na kazi kule maeneo inakuwa hamna.. Dakika tu kwishaa...

Kwa kazi za muda mfupi kama miradi Howo ni best option and efficient.. Engine ndogo, fuel consumption kidogo na inabeba mzigo mkubwa kuliko Scania.. Ila durability ni ndogo..

Kwa mradi ni sawa maana unaipigisha kazi miaka 5 then unaitema..
 
Back
Top Bottom