Wengi wa waliocomment wamefanya hivo kwa hisia/kuambiwa.
Sasa Ngoja nikupe experience yangu:
Nina logistics company na I started with a fleet of Mercedes Benz (all trucks zilikuwa Benz) mwanzo mambo yalikuwa poa sana ila sasa zilivoanza kusumbua!!! Eeenheee hamna rangi niliacha ona, ikitaga mahali….say kitonga jua hapo ni siku tatu au nne minimum utakaa.
Kwanza utoe fundi mwenye computer Dar (akucharge 300,000 au 350,000) just kwenda tu, afike pale aweke computer (100,000 to 150,000 charge yake) akuambie tatizo now utume sasa spare au hiyo sensor from Dar. All that time gari inasubiri na gharama za ulinzi chakula nk zinaendelea kuhesabu!
Spare parts pia ni gharama sana plus hazipatikani kwa urahisi. Nenda pia kwenye normal service, Benz inakula oil 35-40 liters, filters za Benz ni 50,000 kwa moja, brake pad pale Cfao ni around 600k for atego na 250-300k for Actros au Axor!
Sasa tizama Howo:
Gari halina umeme, umeme wake kama wa pikipiki na linatengezeka popote Hata ukiwa huko makete!
Pili service ni very cheap, filter ni 8,000 tu na oil ya engine ni just 22 liters tu! (20 liters ya oil ni 200,000 mpaka 250,000)
Brake pad nying ni drum na waweza bandika ukiwa popote Tanzania na ni very cheap.
Conclusion:
Kama huna pesa nyingi sana na unataka growth na Upo dynamic kwenye kuchange trucks then mchina is a way to go.
Kama una mtaji mkubwa na wataka longevity kwenye fleet yako then think of European trucks.