hewizet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 2,418
- 1,535
Sio uchafu mkuu , MO asingenunua , wewe una akili kama MO ?
We Unaona Mo Ana Akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio uchafu mkuu , MO asingenunua , wewe una akili kama MO ?
Mngeenda kumpigia magoti kuomba Kazi , kama Hana akili ?We Unaona Mo Ana Akili?
hahahahahahaMngeenda kumpigia magoti kuomba Kazi , kama Hana akili ?
Achana na HOWO MENDE ni habari nyingine ya heavy project. Umeshawahi kuona Scania kwenye miradi ya makaa ya MAWE ?Unaongelea kuhamisha watu wanaohama? Au kubeba vifusi? Kama ni hivyo basi Howo anashindana na Kurikuu, siyo Scania
Makaa ya mawe yanahitaji gari nyingi sana.Achana na HOWO MENDE ni habari nyingine ya heavy project. Umeshawahi kuona Scania kwenye miradi ya makaa ya MAWE ?
Sio yanga, maandazi.Naomba mlinganishe scania na Benzi, hizo nyingine ni sawa na kulinganisha Manchester city na Yanga
Mkuu unajua ubora wa scania au unaropoka tu??????? Je ushawahi kumiliki lori????Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana, Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana, Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza.
Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati.
View attachment 2635647View attachment 2635649
Ndio maana madereva wa masafa wanapenda dawa za kienyeji kwenye chupa za maji utaona mizizi na vipande vya miti.Dereva wa Howo ndani ya miezi 3 lazima aanze kutumia dawa za maumivuu ya mgongoni.. Akizidisha miaka 2 bhas na kazi kule maeneo inakuwa hamna.. Dakika tu kwishaa...
Kwa kazi za muda mfupi kama miradi Howo ni best option and efficient.. Engine ndogo, fuel consumption kidogo na inabeba mzigo mkubwa kuliko Sùcania.. Ila durability ni ndogo..
Kwa mradi ni sawa maana unaipigisha kazi miaka 5 then unaitema..
Kwa biasharaa ya mabus ya abiria bado Mchina ni the best anarejesha pesa haraka sana kuliko scania.Scania daima itabaki kuwa scania tu....kwa wanaojua mambo ya magari /ma-Tx Drivers ama wamiliki wa magari ya mizigo/abiria....
Ila kwa wamiliki wa (Vyombo vya usafiri ) hawatanielewa katu....!
Kuna Gari, na Chombo cha usafiri! Kuna tofauti kubwa hapo.
Hivyo ulivotaja ni Vyombo vya usafiri.
Salute kwenu Sub-Scania hapo Vingweta(Vingunguti)
Zinaongeza urojo kwenye mifupaNdio maana madereva wa masafa wanapenda dawa za kienyeji kwenye chupa za maji utaona mizizi na vipande vya miti.
Nilikua sijuiZinaongeza urojo kwenye mifupa
Howo ni nzuri kwa tipper na rough road anapopita Howo tipper scania apitiHow haziwezi kuichallenge scania kwa kua kila gari ina ubabe wake
Pigisha howo ruti ndefu for long time uone kama atatotoboa kwa scania