Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Longetivity ya chombo ni moja ya muhimili mkubwa kwenye biashara ya transport.
Gari za mizigo labda na Sio kwenye passenger bus huku ni comfortability, luxuries, muonekano ndipo mchina anapotekea soko.
Pesa inarudi unavuta chuma zingine mbili unauza za zamani unakuwa umefanya business longertivity
 
Biashara ya mabasi kwa bongo ni kama ponzi scheme, watu unaona wakiingia ila hutaona wakitoka!!
Basi ya mchina kurudisha pesa sio kazi rahisi hivo!! Utasikia story nyingi sana lakini uhalisia wengi wao hawarudishi pesa na wana default kwenye mikopo
 
How haziwezi kuichallenge scania kwa kua kila gari ina ubabe wake

Pigisha howo ruti ndefu for long time uone kama atatotoboa kwa scania
Mkuu biashara ni investment na payback period.
Ni kweli Scania ni bora zaidi lakini kw Scania moja unapata FAW mbili au tatu.
Mzigo unabebwa ,vile vile na ndani ya miaka miwili hela imerudi.
Kwa Scania yako moja mzigo ule ule hela kurudi miaka mitatu au minne.
 
Mfano Sauli ana bus DRH na DPN zimepmbana na series zifuatazo za Newforce na bado zipo DPK series,DZU series,EBK series na Sasa ECH series.
Wewe umenielewa !!!
Sasa hizo series karibu nne za new force ni kwa vile huyo mchina ni dealer wa zhong tong . Angekuwa ni mtu alikopa benki angekuwa amepotea kitambo sana.
 
Mfano Sauli ana bus DRH na DPN zimepmbana na series zifuatazo za Newforce na bado zipo DPK series,DZU series,EBK series na Sasa ECH series.
Mpambano mwingine ni wa allys na katarama hapo mwanza ! Muda utaongea , kama katarama hatapata majanga ya ajali allys atabadilisha sana basi ili ku keep up na zile scania .
Ruvuma kule kwa piece nne za super feo new force kaweka zhong tong zaidi ya kumi zinabafilishana siku za kutoka.
 
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana, Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana, Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza.

Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati.
View attachment 2635647View attachment 2635649
Durability ikoje? Kuna magari ya Isuzu (sijui kama umeyaona) nimezaliwa nikazikuta, mpaka naanza shule zipO, nikamaliza la Sekondari zipo, nikamaliza chuo kikuu zipo....juzi juzi ndiyo imechechemea
 
Hizo Chinese Truck kama Faw na Howo kacheki zile walizoingiza Mwanzo wakina Omar Awadh, T.U.T,Pwani Road Haulage
Mkuu wewe game unalijua !!! Sasa hao uliowataja ni ma big fish!!
Imagine mtu anayeanza halafu gari ya 57k Usd inakufia kifo kile , na gari ya kichina ikifa imekufa .ndo maana hakuna kipisi cha kichina
 
Mpambano mwingine ni wa allys na katarama hapo mwanza ! Muda utaongea , kama katarama hatapata majanga ya ajali allys atabadilisha sana basi ili ku keep up na zile scania .
Ruvuma kule kwa piece nne za super feo new force kaweka zhong tong zaidi ya kumi zinabafilishana siku za kutoka.
Mpaka sasa kashaleta vifurushi mara mbili EBF na hizi Mpya bado hazina namba.
 
Mpambano mwingine ni wa allys na katarama hapo mwanza ! Muda utaongea , kama katarama hatapata majanga ya ajali allys atabadilisha sana basi ili ku keep up na zile scania .
Ruvuma kule kwa piece nne za super feo new force kaweka zhong tong zaidi ya kumi zinabafilishana siku za kutoka.
Ila Newforce anatunza gari bwana zile DKX za Songea mpaka leo ziko poa..ila jambo analofanya gari ikienda hairudi
 
Ila Newforce anatunza gari bwana zile DKX za Songea mpaka leo ziko poa..ila jambo analofanya gari ikienda hairudi
Anachofanya new force sio typical biashara ya transportation, yeye anauza mabasi ndo maana zikichoka kidogo amazitoa .
New force route ya tunduma ana gari zaidi ya 20 zinapokezana siku za kutoka nyingine reserve
 
Mkuu wewe game unalijua !!! Sasa hao uliowataja ni ma big fish!!
Imagine mtu anayeanza halafu gari ya 57k Usd inakufia kifo kile , na gari ya kichina ikifa imekufa .ndo maana hakuna kipisi cha kichina
Kipisi cha kichina bei imesimama hata kikiwa used. Wakina Mohamed Dewji na ATT Tabora wakinunua rigid trucks(vipisi) huwa wanaongeza trailer zinakuwa pulling.

Ukicheki rigid trucks za Mo zile Faw zimechoka balaa kuzidi vipisi vya 93 Scania vinavyovuta pulling tangu miaka ya Nyuma za wakina Simba Arusha, T.U.T
 
Anachofanya new force sio typical biashara ya transportation, yeye anauza mabasi ndo maana zikichoka kidogo amazitoa .
New force route ya tunduma ana gari zaidi ya 20 zinapokezana siku za kutoka nyingine reserve
Na wajanja sana, wanafanya preventive maintenance gari wakiagiza wanaleta na spare parts kibao kwenye boots. Kifaa kikizingua mchina anahakikisha kinafungwa kipya.
 
Asante mkuu , Niko hapa Namanga, nimetoka kuhesabu Howo zilizobeba tiles from Dar to Nairobi ziko nyingi kuliko Scania . Sinotruck apewe maua yake mkuu.
Na hizo howo ziliingia zikiwa 0km,scania ni gharama mfano hizo ulizoziona asilimia kubwa kama si zote ni used hiyo ni ishara kwamba kiuchumi duniani tupo nyuma ukilinganisha na wenzetu.Tusichekelee kuwa na bidhaa duni.
 
Juzi hapa nilikuwa nafuatulia mjadala wa China kuipiku Japan kwenye mauzo ya magari ya umeme yaani mchina ndio anaongoza kwa kuuza magari ya umeme Duniani , Jana tna nikakuta mjadala china kuzipiga chini Scania,Volvo,Man kwenye mauzo ya malori na mabasi makubwa hapa Tanzania

Ukweli usewe tu Tabia ya mchina kuja na utamaduni wa kutengeneza bidhaa kulingana na pesa ya mtu ataendelea kuwapiga chini Wazungu kila kona atakuwa Tishio.. We unasema Gari Za china ni kimeo na huna hata bajaji ila matajiri wa Tanzania wamehamia china mnadhani ni wajinga?

Bidhaa za Mzungu zipo vingunguti pale ukiambiwa utoe bilioni moja upewe full scania hapa kati ya watu 100 ni matajiri watatu tu wanaweza kuzimudu sio kwamba watu hawapendi viatu vizuri ila ni kipato chetu kidogo, ndio maana matajiri walikuwa wananunua mitumba ambayo ikifika hapa ni kama kubeti linaweza kudumu au kukusumbua

Ila Tajiri akinunua Howo au Faw mpya ana uhakika wa kulitumia miaka 6 bila usumbufu na pesa inarudi na garama ya manunuzi ni ndogo na ndio maana Mtajiri wamekimbilia china, Kwenye mabasi ndio hivyo hivyo mtu ananunua Yutong kwa bei cheap analitumia kwa miaka 5 na halisumbui pesa ikirudi anazuza , kila Tajiri anapenda Marcopolo ila miliomi 800 nani anazo?
 
Back
Top Bottom